Gavana sonko akatiza kitaa na mavazi yake ya kijeshi!

Gavana sonko akatiza kitaa na mavazi yake ya kijeshi!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
ni hii leo katika pilka pilka za kusherehekea sikukuu ya madaraka day, amakatiza mitaani huku kavalia mavazi yake rasmi ya kikazi....hongera sana Mhe sonko, wananchi tumeyafurahikia na hayo mapete yaliyojaa vidolenii🤣👑 bling bling
61416488_10155697352289058_6333528151011885056_n.jpg
61816753_10155697352434058_6642100110752743424_n.jpg
 
hapa kazi tuuu...naskia bashite kakataa ist za kuhongwaaa🤣
61414287_2402494476455553_6261434316039913472_n.jpg
😂 🤣
61499847_2402494406455560_8413244958907039744_n.jpg
 
shikamoo kamanda...mguu pande, mguu sawa!
46482306_2367231849955797_6904042680007786496_n.jpg
 
Sio mavazi ya kijeshi boss, ni yale ya 'kanjoo', askari wa gatuzi la Nairobi. Ila amependeza, apunguze bling basi, asituletee umakadara wake pale City Hall. [emoji1]
 
Bashite..Rais mtarajiwa wa 2025 ambaye atawanyorosha pale namanga..mmezoa vifaranga vyenu kuchomwa, huyu atawachoma nyinyi binadamu
Nilitarajia utaniambia ni jamaa flani hivi ambaye ana vyeti vya kuzaliwa na kubatizwa tu! Basi. Anangoja kupata D.C, Death Certificate.
 
Nilitarajia utaniambia ni jamaa flani hivi ambaye ana vyeti vya kuzaliwa na kubatizwa tu! Basi. Anangoja kupata D.C, Death Certificate.
Hakuhitajiki Rais ambaye ana masomo mingi kukabiliana na mijizi ya kenya..Hata huyu jiwe na Phd zake anachelewesha sana..Hivi unawezaje kuchoma vifaranga na uwache wezi waende huru? Masomo mengi pia ni ujinga..
Dawa yenu ni bashite
 
Eti dawa yetu, na nani? [emoji15] Mtajiju wenyewe na mazero brain wenu. Mzee naona kama dish lako lishaanza kuyumba yumba, nadhani masaa ya kumeza tembe yameshawadia.
 
Sio mavazi ya kijeshi boss, ni yale ya 'kanjoo', askari wa gatuzi la Nairobi. Ila amependeza, apunguze bling basi, asituletee umakadara wake pale City Hall. [emoji1]
Naona Una kachuki flani na boss wa Nairobi,umakadara uliisha kitambo sasa ni urunda.
 
Eti dawa yetu, na nani? [emoji15] Mtajiju wenyewe na mazero brain wenu. Mzee naona kama dish lako lishaanza kuyumba yumba, nadhani masaa ya kumeza tembe yameshawadia.
Hivyo ndivyo ilivyo, ukitaka kumuweza kanjanja jifanye zero brain..Mtasumbuka hadi mpate vichaa..Dawa yenu bashite
 
Back
Top Bottom