Gavana wa Benki Kuu afafanua hali ya uchumi

Gavana wa Benki Kuu afafanua hali ya uchumi

Uchumi wa Tanzania wa kwenye makaratasi unakua vizuri sana. Ila uchumi wa kitaani upo ICU na kwa hali ilivyo utaelekea mochuari kabisa.
 
Duh! Cheo cha ugavana ndio kimekuwa "simple" namna hii? Kweli Gavana ina maana hajui watu wanaposema kupungua kwa mzunguuko wa pesa kunamaanisha nini? Nadhani ameamua kujibu ndivyo sivyo ili siku ziende.
 
Hivi unga na mahindi kipi hukaa muda mrefu zaidi bila kupoteza ubora?
 
Ndiyo maana hakuna viwanda vya chuma by Gavana watu wawaze matengenezo ya umeme, magari na Ujenzi Ndiyo KAZI kubwa ya maengineer.
Nimepitapita nchi chache za uchumi wa kati, chini ya uongozi madhubuti wa CCM. Itachukua zaidi ya miaka Mia mbili kufika uchumi wa kati, labda hiki chama chakavu kitoke madarakani.
 
Vizee kama hivi inafaa vipumzike tu!

Akili zao bado ni za miaka ya 60 wakati dunia ya leo imebadirika pakubwa sana.
Kwa jinsi walivyolihendo suala la forex unaona kabisa hawa jamaa akili zao ni za kulimia magimbi huko vijijini kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika ulimwengu wa sasa, ili nchi iendelee tunahitaji watu wasomi lakin waliowahi hata kuuza japo any kind of business. Hili lizingatie pia wanasiasa, tunachukua watu walio chukua matheories na mara mahypothesis sjui nini. Tunahtaji watu makin ambao ni practically practiced in business!!vingnevo matheories yatakua yanafeli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe sijui hawa maprofesa njaa anawaokoteaga wapi, hana jipya pumba Tupu, ukweli ni kwamba hali ya uchumi nchini ni mbaya, mahospitali hayana dawa, wananchi ndo wamechoka kabisa, biashara zimekufa, mabenki yana hali mbaya mikopo halipiki kabisa wamebaki kuuza dhamana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joasi,
Uko sahihi. Hiyo sentensi yako ya mwisho,viongozi wengi wameshindwa.
 
March 7, 2020

Taarifa ya BoT na IMF kuhusu mwenendo wa uchumi

Mkurugenzi wa sera na utafiti Benki Kuu ya Tanzania Dr. Suleiman Missango azungumzia mfumuko wa bei nchi unazidi kuwa mdogo yaani ni 3.7% na hali ya maisha ya wananchi inavyozidi kuwa na nafuu kutokana na uchumi wa Tanzania kuimarika kwa kasi ya 6% kwa mwaka na pia sera madhubuti

 
Back
Top Bottom