Gavana wa benki kuu agoma kufukuzwa kazi na Trump

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Gavana wa Benki Kuu ya Marekani, Lisa Cook, ameanzisha mvutano na Rais Donald Trump kwa kukataa kuondoka kwenye wadhifa wake baada ya rais huyo kutangaza kumfukuza kazi.

Mvutano huo umetokea baada ya jana Jumatatu Agosti 25, 2025 Rais Trump kutangaza amemfukuza kazi Cook kwa sababu maalumu ikiwamo kutaka benki hiyo ipunguze viwango vya riba.

Soma pia: Trump na gavana wa Maine warushiana maneno live, watishiana kupambana mahakamani!

Screenshot 2025-08-26 061642.png

Kufukuzwa kwa Cook ni mara ya kwanza katika historia ya miaka 111 ya Benki Kuu nchini humo, huku Trump akieleza kwamba siku si nyingi atamteua gavana mpya atakayemuunga mkono katika matakwa yake ya kupunguza viwango vya riba.

Hata hivyo, Cook alitoa taarifa Jumatatu usiku akisisitiza kuwa hataondoka kwenye wadhifa huo.

"Rais Trump amedai kunifukuza kwa sababu maalumu wakati hakuna sababu yoyote kisheria, na hana mamlaka ya kufanya hivyo sitajiuzulu. Nitaendelea kutekeleza majukumu yangu kusaidia uchumi wa Marekani kama nilivyokuwa nikifanya tangu mwaka 2022," amesema.

English version

US President Donald Trump has said he will immediately remove Federal Reserve official Lisa Cook from her position, in a major escalation in his battle against the US central bank.

He said there was "sufficient reason" to believe Cook had made false statements on mortgage agreements, and cited constitutional powers which he said allowed him to remove her.

In response, Cook said Trump had no authority to fire her and she would not resign.

It is an unprecedented move for the president to dismiss a member of the central bank's leadership, and comes as Trump has put increasing pressure on the Fed - especially its chair Jerome Powell - over what he sees as an unwillingness to lower interest rates.
 
View attachment 3453808

safi, tunataka mzingira ya siasa kama hizi, Rais asiwe na nguvu kama Mungu.Akileta ujinga unakataa
 
Aondoke tu kiroho safi. Asije kuvamiwa kwake na FBI kama John Bolton.
 
Mtu mweusi kujiuzulu au kuachia madaraka mpaka Rungu
 
Back
Top Bottom