Gavana wa Benki KUU Tanzania!

Kwani alifanya modifications Kuna shida gani?
 
Deputy governors ni wachuku waliokuwa wamebobea Shida ahaoakuwa na mwansheria..na Luiga ilikiwa good fit
 
Kwahiyo kaka mkuu governor sio Dr. wala professor just a Mr.

Unajua hawa watu utakuta wanao ka-uwezo fulani hivi ka kuzipanga zile free forces za supply and demand zikakae pahala

Aiseh watu wanakulapo nchi shule hizi sio mchezo
ADEP hapo ndo mtajua elimu ya zamani ilikuwa bora zaidi ya elimu iinayotolewa siku hizi.watoto wanakaririshwa badala ya kuelewa.
 
Vijana someni pia muwe machawa kwa manufaa ya taifa.
hili taifa changa bado linawahitaji.
a luta continua.
 
Wanabuni vitu vya kijinga jinga tu kama Salary advance na upupu mwingine tu!
Salary Advance ndiyo tafsiri halisi ya umasikini! Kwamba unakula pesa ya mwezi ujao kwa kuwa uko broke leo!
Duuh! Hatari na nusu. Mleta mada mbona kama unanisema mm??
 
Mm niliingia PWC na advanced diploma hiyo hiyo na masters nikaifanyia UK nikiwa secondment na hao hao PWC tukiwa na mtendaji mkuu wa Sasa wa mahakama Tanzania ambaye pia alitokea Mzumbe na advanced diploma
 
Jamaa ana advanced diploma ya 2000 so iko relevant kabisa

Sema hajafanya kazi kwenye financial institution hiki kinaweza kumsunbua kidogo

But ni Bora kuliko luoga ambae professional ni lawyer sio economist Wala financial expert
Tena sio ya 2000 ni ya 1999, na since then amefanya kazi tresuary hadi kufikia kuwa kamishna wa bajeti
 
Wewe utakuwa ni mjinga sana, Masters ni elimu ndogo? Hao wenye PhD wameifanyia nini nchi? Marekani haijawahi kuongozwa na mtu mwenye PhD wala Uingereza lakini ndiyo zinaongoza kwa maendeleo.
Wewe jamaa acha upumbavu utachekwa .Obama ni professor of law na alikuwa rais wa Marekani.Rais aliyefuata baada ya Obama ni PhD sema wao hawana issue za kujitangaza.
 
Mbona Rais wa Benki ya Dunia 2012-2019 Jim Yong Kim alikuwa Physician yaani Daktari wa binadamu na aliongoza fresh tu.Tutuba ataweza tu,BOT ni taasisi yenye mifumo,kikubwa azingatie teamwork!
Mkubwa acha ujuaji utachekwa!Jf ina watu wenye waredi kukuzidi.Dr.Kim ana BA in Economics ambayo aliipata kabla ya kwenda kusoma MD lakini pia amefanya Master na PhD in Medical Anthropology!Unajua Anthropology ina deal na vitu gani ?Ukijua hili utajua kwanini alipewa Banki ya dunia.Ni Tanzania pekee ambapo Engineer akisomea Economics ataonekana tahira .
 
Yaani hata kutafsiri Advanced ni tatizo
 
Hivi hatuna Economists walio bobea?

Amandla...
 
World Bank sio Reserve Bank. Dr. Kim aliteuliwa kuwa President kutokana na utaalam wake katika masuala ya Global Health ambalo ni moja ya maeneo ambayo World Bank imejikita.
Ila kilicho muhimu zaidi ni uzoefu wake katika masuala ya fiscal na monetary policies. Labda muda wake Hazina umempa huo uzoefu.

Amandla...
 
Mimi nilifikiri Tutuba ni Harvard graduate. Ngoja tuone muda utasema
 
Nani anapenda maprofesa ambao ni wajuaji? Huu si wakati wa jiwe aliyejiamini na kuwapa kazi na kuwazidi kete. Mama anataka watu laini ati
 
TOKA MAKTABA:

19 July 2022​

Accra, Ghana

Annual Meetings 2022: Governor Statement, Tanzania



Emmanuel Mpawe Tutuba
Permanent Secretary Ministry of Finance and Planning, Tanzania .
the theme, Achieving Climate Resilience, and a Just Energy Transition for Africa, was chosen to provide a framework for the governors of the Banks to share their experiences and engage in addressing climate change and energy transition challenges, as well as their policies and measures to deal with them.
Source : AfDBGroup

Read more : About the 2022 Annual Meetings | African Development Bank - Annual Meetings
Source : AfDBgroup
 
Lakini Luoga hajaharibu isitoshe uzalendo utakusaidia nini kama
hauijui fani? Wewe ukiambiwa upeleke gari gereji atakayekutengenezea ni Mwaminifu lkn siyo fundi magari utakubali akutengezee gari kwa kuwa tu ni mwaminifu?
Nimeipenda ujengaji wako wa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…