Mikopo.....!!!@Hawa bloomberg wanatakiwa waseme habari hii kubwa duniani kwa hisani kubwa ya JF
Wasifu wa Gavana / Governor Emmanuel Mpawe Tutuba / Biography / CV :
2019
Assistant Commissioner for Budget - Expenditure tracking and performance monitoring (Ministry of Finance and Planning)
Source : www.parliament.go.ke files : Report of the Auditor - General on African Institute for Capacity Development AICAD - Office of the Auditor General
- 1999-2001 : masters of business administration in corporate management MBA Corp MGT Mzumbe
- 1996-1999 : advanced Diploma in Economic Planning- ADEP (IDM Mzumbe)
- 1992-1994 : Advanced Secondary Education - Milambo secondary school
03 February 2020
Katibu Tawala wa mkoa RAS
Rais John Magufuli amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza leo tarehe 3 February 2020 Ikulu ya Dar es Salaam
View attachment 2476812
Mjumbe wa Bodi ya REA
Kamishna Tume ya Madini
- Mr. Emmanuel Mpawe Tutuba - Rural Energy Board Director Rural Electrification Authority REA
Katibu Mkuu wizara ya fedha
- Emmanuel M. Tutuba commissioner Mining Commission
- Rais Samia Hassan leo tarehe 6 April 2021 amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa katibu mkuu wizara ya Fedha na Mipango
We dada ni mjinga sn, PhD ndiyo inafanya kazi? mjinga na PhD yako ambayo hata haikusaidiiWewe jamaa acha upumbavu utachekwa .Obama ni professor of law na alikuwa rais wa Marekani.Rais aliyefuata baada ya Obama ni PhD sema wao hawana issue za kujitangaza.
Mchumi anaweza akawa na PhD ya utafiti juu ya "Athari za Mikopo Kutoka Benki za Kibiashara Kwenye Nchi Zinazoendelea; Uzoefu wa Tanzania Mwaka 2010-15". PhD uneo hilo haimfanyi awe bora kumzidi mtu mwenye Masters, sana sana atakuwa gwiji kwenye mikopo ya kimataifa tu.We dada ni mjinga sn, PhD ndiyo inafanya kazi? mjinga na PhD yako ambayo hata haikusaidii
Mrembo makasiriko ya nini ?Nimereply tu post yako ambayo ilikuwa inasema "MARAIS WA MAREKANI WALIFANYA VIZURI HAWAKUWA NA PhD "Nilikuwa na kosoa statement hiyo tu maana inaonekana uko less informed .We dada ni mjinga sn, PhD ndiyo inafanya kazi? mjinga na PhD yako ambayo hata haikusaidii
Kaishi sasa MarekaniMrembo makasiriko ya nini ?Nimereply tu post yako ambayo ilikuwa inasema "MARAIS WA MAREKANI WALIFANYA VIZURI HAWAKUWA NA PhD "Nilikuwa na kosoa statement hiyo tu maana inaonekana uko less informed .
Wakati mwingine ukiwa unaandika kitu hapa Jf uwe na uhakika nacho.Sasa wewe na Elimu yako ya shahada moja unakurupuka eti Marekani haina raisi PhD ..!Kaishi sasa Marekani
Sasa na wewe unapoteza focus kwenye argument Yako kwani courage ya kuacha kazi iwapo ushauri hauzingatiwi haitaji PHD hata Form Six anaweza kuwa nayo kwani quality hiyo ni personal trait na in borne.Professors na Doctors wengi tu wakiwemo wachumi wapo ni bendera fuata upepo tu,after all hiyo quality unayoitaka ni baseless kwani haipo kwenye Job Specification ya position ya Governor wa BOT.Katibu Mkuu Hazina haandai monetary policy za nchi. Yeye jukumu lake sio kupambana na inflation na pressure nyingine katika currency yetu. Mwenye jukumu hilo ni Gavana na anapaswa kutimiza jukumu hilo bila kujali serikali inapendelea nini. Ndio maana anatakiwa mtu astute, anaejiamini na ambae yuko tayari kusema ukweli wake kwa mamlaka ya juu.
Wapi nimemsifia Luoga? Ulivyosema kuwa ame survive ni ushahidi tosha kuwa ile haikuwa nafasi. Hatutaki mtu ambae ambition yake ni ku survive. Tunataka mtu ambae atakuwa tayari kupoteza ajira yake pale anapoona ushauri wake hauthaminiwi kiasi cha kuipeleka nchi kubaya.
Amandla....
Kaka unajua watu wana kariri sana,hata viongozi wetu wengi nao ni hivyo hivyo hao wanawaitwa Madokta na Maprofesa wanaouchukuliwa kutoka vyuoni na kupewa nyazifa wengi wanakuwa zero kichwani kutokana na ku lack experience.Profesa ni Mwalimu tu wa kiwango cha juu kwenye chuo kikuu. Kazi ya Profesa ni kufundisha na kufanya tafiti.
PhD au shahada ya Uzamivu hupewa mtu aliyetafiti eneo moja kwa undani zaidi.
JD ya Governor wa BOT inahitaji mtu mwenye BA ya uchumi na uzoefu kwenye uchambuzi wa masuala ya uchumi usiopungua miaka 10, huku Masters au PhD zikiwa added advantage
Benki Kuu siyo chuo ambapo taaluma ya kufundisha inahitajika. Tutuba atakuwa ni Governor wa 3 asiye Professor Wala PhD kushika nafasi hiyo ikiwa ni pamoja na Charles Nyirabu (BA) na Rutihinda ( MA).
Tutuba ana sifa zote zinazotakiwa kwa kazi hiyo
Job specificaton ya position ya Governor wa BOT inasemaje?Sasa na wewe unapoteza focus kwenye argument Yako kwani courage ya kuacha kazi iwapo ushauri hauzingatiwi haitaji PHD hata Form Six anaweza kuwa nayo kwani quality hiyo ni personal trait na in borne.Professors na Doctors wengi tu wakiwemo wachumi wapo ni bendera fuata upepo tu,after all hiyo quality unayoitaka ni baseless kwani haipo kwenye Job Specification ya position ya Governor wa BOT.
Atakubali?Ms. Maryam Salim is the Country Manager of the World Bank for Cambodia. Ms. Salim has more than 20 years of experience in the World Bank, during which she has led a number of Program and Policy reform initiatives.
Prior to this position, Ms. Salim was Country Manager of the World Bank for Albania, and she held various other positions, including Advisor in the Office of the Chief Executive Officer and Senior Vice President for Operations. She worked also as Operations Advisor and Program Leader for Investment Project Financing. Ms. Salim joined the Bank as a Young Professional in 1998 and has worked in health and social protection programs in the Africa, Europe and Central Asia, and East Asia and Pacific Regions.
A Tanzanian national, she holds a Master's in International Economics and International Relations from the Johns Hopkins University's Paul H. Nitze School of Advanced Studies and a Juris Doctor from Georgetown University.
LETA HUYU NCHINI. TUJENGE NCHI YETU
Kwa mapenzi ya nchi yake itabidi akubaliAtakubali?
Amandla...
Kwa hiyo asipokubali atakuwa haipendi nchi yake?Kwa mapenzi ya nchi yake itabidi akubali
Fundi Mchundo una roho ya kwanini ndiyo maana huna maendeoJob specificaton ya position ya Governor wa BOT inasemaje?
Amandla...
Kuna kosa gani kuulizia kitu nisichokijua? Na ni kweli sina maendeleo.
Kwa hiyo shahada ilikuwa ya kukariri PhD za ma-Rais wa Marekani? Mtei alikuwa Gavana wa BoT alikuwa na PhD? tunataka watu wachapa kazi na siyo makaratasiWakati mwingine ukiwa unaandika kitu hapa Jf uwe na uhakika nacho.Sasa wewe na Elimu yako ya shahada moja unakurupuka eti Marekani haina raisi PhD ..!