zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hapana nipo objective sana, mambo ya proxy wars yanafanywa na USA, Israel na Iran wote hapo middle east sasa kwanini iwe nongwa kwa Iran pekee. Mfano PKK iko funded na USA ilihali wapo listed kama magaidi na hao hao USA sasa mbona hamsemi USA inafadhili magaidi?Naona umekuja na rangi zako halisi.
Post uliyoni-quote mwanzoni ni wapi nimetaja Iran au US au nchi yoyote? Kwanini akili yako imekimbilia kwamba niko in favor of certain countries against others? Huko ndio kuwa objective na matusi juu? Hakuna mwenye hati miliki ya matusi.Hapana nipo objective sana, mambo ya proxy wars yanafanywa na USA, Israel na Iran wote hapo middle east sasa kwanini iwe nongwa kwa Iran pekee. Mfano PKK iko funded na USA ilihali wapo listed kama magaidi na hao hao USA sasa mbona hamsemi USA inafadhili magaidi?
All in all Syria inahitaji amani wameshapigika sana
Hivi ile ya MKIRU nani alikua behind the scene?We unafikiri wanao anzisha makundi huko ni nani? Mambo ya huko ni beyond na tunavyo elezwa mitandaoni.
Nchi kadhaa zikishakuwa na interest na sehemu fulani tegemea machafuko na zigo la lawama kusukumiwa nchi nyingine
Kusini mwa tanzania na pwani miaka ijayo utakuja kustuka mambo si mambo.
Rejea mambo ya mkiru, mapango ya amboni emzi za magu
We jamaa ni mzuri kukwepa hoja.Post uliyoni-quote mwanzoni ni wapi nimetaja Iran au US au nchi yoyote? Kwanini akili yako imekimbilia kwamba niko in favor of certain countries against others? Huko ndio kuwa objective na matusi juu? Hakuna mwenye hati miliki ya matusi.
Kanilisha maneno nisiyoyatamka kamwe! Shida kachanganya hisia huku akijifanya yuko objective plus kutukana tukana ovyo.We jamaa ni mzuri kukwepa hoja.
Kutukana sawa kakosea japo hajatukana lile tusi hasa.Kanilisha maneno nisiyoyatamka kamwe! Shida kachanganya hisia huku akijifanya yuko objective plus kutukana tukana ovyo.
Vipi kuhusu ule mlima walikoweka kambi, wanawaachia?Wadau hamjamboni nyote?
Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano mzuri na Israel.
Hatuna hofu na Israeli, na shida yetu sio kwa Israeli," anasema. "Kuna watu wanataka kuishi pamoja. Wanataka amani. Hawataki mabishano.”
Tunataka amani, na hatuwezi kuwa mpinzani wa Israel au mpinzani wa mtu yeyote,” anasema
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 27, 2024
Damascus governor: ‘We have no fear toward Israel… there exists a people who want coexistence’
Today, 7:57 am
In an interview with NPR said to be on behalf of Syrian leader Ahmed al-Sharaa, the governor of Damascus says the newly-installed government wants to have good relations with Israel.
Maher Marwan says that Israel’s initial trepidation after the fall of former president Bashar al-Assad was “natural.”
“Israel may have felt fear,” he says. “So it advanced a little, bombed a little, etc.”
“We have no fear towards Israel, and our problem is not with Israel,” he says. “There exists a people who want coexistence. They want peace. They don’t want disputes.”
“We want peace, and we cannot be an opponent to Israel or an opponent to anyone,” he says
Wairani wa buza watanunaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wadau hamjamboni nyote?

Mkuu umeleta habari nimekuwa nikifuatilia jinsii Magu alivyoweza kupambana na Yale magaidi ya kibitiMagu aliwazima magaidi kikatili sana kwa njia ya jicho kwa jicho na jino kwa jino wakaishia kujazwa kwenye viroba.
Wakaona mahali hapa si salama tena, wakasepa zao Msumbiji.
Ila sasa hivi wakireflex muscles, watatusumbua, tena kwa sana tu.
Yeyote anaye-support ugaidi hafai.Kutukana sawa kakosea japo hajatukana lile tusi hasa.
Ila mkuu ni ukweli kuwa mnaichukulia Iran nchi inayofadhili ugaidi na kuharibu amani,ilhali vinara ni US na wenziwe.
Muunga mkono ugaidi wa kwanza USA hapa duniani.Yeyote anaye-support ugaidi hafai.
Ushahidi?Muunga mkono ugaidi wa kwanza USA hapa duniani.
Na ushahidi upo wa dhahiri shahiri.
Vipi kuhusu ule mlima walikoweka kambi, wanawaachia?Wadau hamjamboni nyote?
Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano mzuri na Israel.
Hatuna hofu na Israeli, na shida yetu sio kwa Israeli," anasema. "Kuna watu wanataka kuishi pamoja. Wanataka amani. Hawataki mabishano.”
Tunataka amani, na hatuwezi kuwa mpinzani wa Israel au mpinzani wa mtu yeyote,” anasema
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 27, 2024
Damascus governor: ‘We have no fear toward Israel… there exists a people who want coexistence’
Today, 7:57 am
In an interview with NPR said to be on behalf of Syrian leader Ahmed al-Sharaa, the governor of Damascus says the newly-installed government wants to have good relations with Israel.
Maher Marwan says that Israel’s initial trepidation after the fall of former president Bashar al-Assad was “natural.”
“Israel may have felt fear,” he says. “So it advanced a little, bombed a little, etc.”
“We have no fear towards Israel, and our problem is not with Israel,” he says. “There exists a people who want coexistence. They want peace. They don’t want disputes.”
“We want peace, and we cannot be an opponent to Israel or an opponent to anyone,” he says
Nitaanza kukuletea ushahidi wa ufadhili wa Taliban dhidi ya USSR na mujaheddin wa Chechen dhidi ya USSR.Ushahidi?
Mkuu wakati unaandika haya hujui kama Israel ina vikosi vya kijeshi ndani ya ardhi ya Syria? Kama hujui basi ndiyo hali halisi, mara baada ya utawala wa Assad kuanguka Israel ilianzosha mashambulizi ya maghara ya siraha na mifumo ya ulinzi wa anga yote ya Syria na kama haitoshi amechukua eneo la kusini katika milima ya Hermon!Hawa bila shaka ni watu wenye hekima ya uongozi.
Israel nayo isishupaze, bali iipokee kauli hiyo positively. Na haraka sana waanzishe uhusiano wa kibalozi, na mahusiano ya kiuchumi ili wananchi waone furaha na manufaa ya mahusiano mazuri kuliko uhadlsama na vita.
Sawa muhimu usiwe ushahidi dhaifu.Nitaanza kukuletea ushahidi wa ufadhili wa Taliban dhidi ya USSR na mujaheddin wa Chechen dhidi ya USSR.
Pia nitakuletea na ufadhili wa Alqaeda dhidi ya Houthi 2014.
Wacha nikusanye madesa nitayaleta.
Nd'omaana nikahitimisha kwa kusema kwamba, hali hiyo ikijitokeza kwa sasa, ngoma itakuwa ngumu sana kutokana na aina ya utawala uliopo.Mkuu umeleta habari nimekuwa nikifuatilia jinsii Magu alivyoweza kupambana na Yale magaidi ya kibiti
Ili ibaki kwenye HISTORIA baada ya kukomesha kabisa ugaidi
Na wasi wasi na aliyepo Kama angefanikiwa au ndo angeomba mazungumzo na magaidi