Gavana wa Damascus asema hawana hofu, shida na Israeli, wanachotaka ni kuishi nao kwa amani, kuwa na mahusiana mazuri na wala hawataki mabishano!

Naona umekuja na rangi zako halisi.
Hapana nipo objective sana, mambo ya proxy wars yanafanywa na USA, Israel na Iran wote hapo middle east sasa kwanini iwe nongwa kwa Iran pekee. Mfano PKK iko funded na USA ilihali wapo listed kama magaidi na hao hao USA sasa mbona hamsemi USA inafadhili magaidi?

All in all Syria inahitaji amani wameshapigika sana
 
Post uliyoni-quote mwanzoni ni wapi nimetaja Iran au US au nchi yoyote? Kwanini akili yako imekimbilia kwamba niko in favor of certain countries against others? Huko ndio kuwa objective na matusi juu? Hakuna mwenye hati miliki ya matusi.
 
We unafikiri wanao anzisha makundi huko ni nani? Mambo ya huko ni beyond na tunavyo elezwa mitandaoni.

Nchi kadhaa zikishakuwa na interest na sehemu fulani tegemea machafuko na zigo la lawama kusukumiwa nchi nyingine
Kusini mwa tanzania na pwani miaka ijayo utakuja kustuka mambo si mambo.

Rejea mambo ya mkiru, mapango ya amboni emzi za magu
Hivi ile ya MKIRU nani alikua behind the scene?
 
Post uliyoni-quote mwanzoni ni wapi nimetaja Iran au US au nchi yoyote? Kwanini akili yako imekimbilia kwamba niko in favor of certain countries against others? Huko ndio kuwa objective na matusi juu? Hakuna mwenye hati miliki ya matusi.
We jamaa ni mzuri kukwepa hoja.
 
Kanilisha maneno nisiyoyatamka kamwe! Shida kachanganya hisia huku akijifanya yuko objective plus kutukana tukana ovyo.
Kutukana sawa kakosea japo hajatukana lile tusi hasa.
Ila mkuu ni ukweli kuwa mnaichukulia Iran nchi inayofadhili ugaidi na kuharibu amani,ilhali vinara ni US na wenziwe.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano mzuri na Israel.

Hatuna hofu na Israeli, na shida yetu sio kwa Israeli," anasema. "Kuna watu wanataka kuishi pamoja. Wanataka amani. Hawataki mabishano.”

Tunataka amani, na hatuwezi kuwa mpinzani wa Israel au mpinzani wa mtu yeyote,” anasema

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

December 27, 2024

Damascus governor: ‘We have no fear toward Israel… there exists a people who want coexistence’

Today, 7:57 am

In an interview with NPR said to be on behalf of Syrian leader Ahmed al-Sharaa, the governor of Damascus says the newly-installed government wants to have good relations with Israel.

Maher Marwan says that Israel’s initial trepidation after the fall of former president Bashar al-Assad was “natural.”

“Israel may have felt fear,” he says. “So it advanced a little, bombed a little, etc.”

“We have no fear towards Israel, and our problem is not with Israel,” he says. “There exists a people who want coexistence. They want peace. They don’t want disputes.”

“We want peace, and we cannot be an opponent to Israel or an opponent to anyone,” he says
Vipi kuhusu ule mlima walikoweka kambi, wanawaachia?
 
Wairani wa buza watanunaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Israel wont buy that narrative unless there is signed compressive peace agreement
 
Magu aliwazima magaidi kikatili sana kwa njia ya jicho kwa jicho na jino kwa jino wakaishia kujazwa kwenye viroba.

Wakaona mahali hapa si salama tena, wakasepa zao Msumbiji.

Ila sasa hivi wakireflex muscles, watatusumbua, tena kwa sana tu.
Mkuu umeleta habari nimekuwa nikifuatilia jinsii Magu alivyoweza kupambana na Yale magaidi ya kibiti

Ili ibaki kwenye HISTORIA baada ya kukomesha kabisa ugaidi
Na wasi wasi na aliyepo Kama angefanikiwa au ndo angeomba mazungumzo na magaidi
 
Kutukana sawa kakosea japo hajatukana lile tusi hasa.
Ila mkuu ni ukweli kuwa mnaichukulia Iran nchi inayofadhili ugaidi na kuharibu amani,ilhali vinara ni US na wenziwe.
Yeyote anaye-support ugaidi hafai.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano mzuri na Israel.

Hatuna hofu na Israeli, na shida yetu sio kwa Israeli," anasema. "Kuna watu wanataka kuishi pamoja. Wanataka amani. Hawataki mabishano.”

Tunataka amani, na hatuwezi kuwa mpinzani wa Israel au mpinzani wa mtu yeyote,” anasema

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

December 27, 2024

Damascus governor: ‘We have no fear toward Israel… there exists a people who want coexistence’

Today, 7:57 am

In an interview with NPR said to be on behalf of Syrian leader Ahmed al-Sharaa, the governor of Damascus says the newly-installed government wants to have good relations with Israel.

Maher Marwan says that Israel’s initial trepidation after the fall of former president Bashar al-Assad was “natural.”

“Israel may have felt fear,” he says. “So it advanced a little, bombed a little, etc.”

“We have no fear towards Israel, and our problem is not with Israel,” he says. “There exists a people who want coexistence. They want peace. They don’t want disputes.”

“We want peace, and we cannot be an opponent to Israel or an opponent to anyone,” he says
Vipi kuhusu ule mlima walikoweka kambi, wanawaachia?
 
Ushahidi?
Nitaanza kukuletea ushahidi wa ufadhili wa Taliban dhidi ya USSR na mujaheddin wa Chechen dhidi ya USSR.
Pia nitakuletea na ufadhili wa Alqaeda dhidi ya Houthi 2014.
Wacha nikusanye madesa nitayaleta.
 
Hawa bila shaka ni watu wenye hekima ya uongozi.

Israel nayo isishupaze, bali iipokee kauli hiyo positively. Na haraka sana waanzishe uhusiano wa kibalozi, na mahusiano ya kiuchumi ili wananchi waone furaha na manufaa ya mahusiano mazuri kuliko uhadlsama na vita.
Mkuu wakati unaandika haya hujui kama Israel ina vikosi vya kijeshi ndani ya ardhi ya Syria? Kama hujui basi ndiyo hali halisi, mara baada ya utawala wa Assad kuanguka Israel ilianzosha mashambulizi ya maghara ya siraha na mifumo ya ulinzi wa anga yote ya Syria na kama haitoshi amechukua eneo la kusini katika milima ya Hermon!

Hapa Gavana alichomaanisha kuwa wakubali kuwa wanyonge tu maana kitendo cha Israel kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga ni kuiweka anga ya Syria katika mikono yake awe anaweza na kuingia anavyotaka kupitia angani, awe anaweza kushambulia popote kupitia anga kwa muda wowote na pia ilo eneo ata akitaka kujiongezea ni sawa tu.
Screenshot_2024-12-28-19-53-10-94_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Nitaanza kukuletea ushahidi wa ufadhili wa Taliban dhidi ya USSR na mujaheddin wa Chechen dhidi ya USSR.
Pia nitakuletea na ufadhili wa Alqaeda dhidi ya Houthi 2014.
Wacha nikusanye madesa nitayaleta.
Sawa muhimu usiwe ushahidi dhaifu.
 
Mkuu umeleta habari nimekuwa nikifuatilia jinsii Magu alivyoweza kupambana na Yale magaidi ya kibiti

Ili ibaki kwenye HISTORIA baada ya kukomesha kabisa ugaidi
Na wasi wasi na aliyepo Kama angefanikiwa au ndo angeomba mazungumzo na magaidi
Nd'omaana nikahitimisha kwa kusema kwamba, hali hiyo ikijitokeza kwa sasa, ngoma itakuwa ngumu sana kutokana na aina ya utawala uliopo.
 
Back
Top Bottom