Gavana wa Damascus asema hawana hofu, shida na Israeli, wanachotaka ni kuishi nao kwa amani, kuwa na mahusiana mazuri na wala hawataki mabishano!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano mzuri na Israel.

Hatuna hofu na Israeli, na shida yetu sio kwa Israeli," anasema. "Kuna watu wanataka kuishi pamoja. Wanataka amani. Hawataki mabishano.”

Tunataka amani, na hatuwezi kuwa mpinzani wa Israel au mpinzani wa mtu yeyote,” anasema

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

December 27, 2024

Damascus governor: ‘We have no fear toward Israel… there exists a people who want coexistence’

Today, 7:57 am

In an interview with NPR said to be on behalf of Syrian leader Ahmed al-Sharaa, the governor of Damascus says the newly-installed government wants to have good relations with Israel.

Maher Marwan says that Israel’s initial trepidation after the fall of former president Bashar al-Assad was “natural.”

“Israel may have felt fear,” he says. “So it advanced a little, bombed a little, etc.”

“We have no fear towards Israel, and our problem is not with Israel,” he says. “There exists a people who want coexistence. They want peace. They don’t want disputes.”

“We want peace, and we cannot be an opponent to Israel or an opponent to anyone,” he says
 
Mwanzo mzuri sana kwa serikali mpya ya Syria. Amani, upendo, na utangamano ndio ustaarabu. To reinforce haya mambo, wasainishane mkataba wa amani chap itakuwa vyema sana.

Hao washenzi wanaofadhili makundi ya kigaidi ku-destabilize amani ya middle east waonywe.
 
We unafikiri wanao anzisha makundi huko ni nani? Mambo ya huko ni beyond na tunavyo elezwa mitandaoni.

Nchi kadhaa zikishakuwa na interest na sehemu fulani tegemea machafuko na zigo la lawama kusukumiwa nchi nyingine
Kusini mwa tanzania na pwani miaka ijayo utakuja kustuka mambo si mambo.

Rejea mambo ya mkiru, mapango ya amboni emzi za magu
 
Hezbollah, Houthi, Hamas and the allied forces.
 
Hawa bila shaka ni watu wenye hekima ya uongozi.

Israel nayo isishupaze, bali iipokee kauli hiyo positively. Na haraka sana waanzishe uhusiano wa kibalozi, na mahusiano ya kiuchumi ili wananchi waone furaha na manufaa ya mahusiano mazuri kuliko uhadlsama na vita.
 
Syria wameshasema wazi kwamba wamechoka na vita visivyo na maana hivyo hawana muda tena wa kufarakana na mtu hivyo ni vyema Iran ikatambua hilo.

Kwa ujumla hata mataifa mengine ya kiarabu nayo hayataki kabisa vita kwa sababu waliishagundua kwamba hawawezi kushinda kwenye hivyo vita.

Iran kama anajifanya mbabe aachane na vikundi vya kigaidi aende moja kwa moja akamkabili Israel kama ana huo ubavu.
 
Hawa waarabu hawaamini Sana ndiyo maana Israel bado anapiga mahesabu dhidi ya utawala huu mpya
 
Wadau hamjamboni nyote?

Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano mzuri na Israel.

Hatuna hofu na Israeli, na shida yetu sio kwa Israeli," anasema. "Kuna watu wanataka kuishi pamoja. Wanataka amani. Hawataki mabishano.”

Tunataka amani, na hatuwezi kuwa mpinzani wa Israel au mpinzani wa mtu yeyote,” anasema

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

December 27, 2024

Damascus governor: ‘We have no fear toward Israel… there exists a people who want coexistence’

Today, 7:57 am

In an interview with NPR said to be on behalf of Syrian leader Ahmed al-Sharaa, the governor of Damascus says the newly-installed government wants to have good relations with Israel.

Maher Marwan says that Israel’s initial trepidation after the fall of former president Bashar al-Assad was “natural.”

“Israel may have felt fear,” he says. “So it advanced a little, bombed a little, etc.”

“We have no fear towards Israel, and our problem is not with Israel,” he says. “There exists a people who want coexistence. They want peace. They don’t want disputes.”

“We want peace, and we cannot be an opponent to Israel or an opponent to anyone,” he says
Sasa hii kwetu inakuaje? Tuitolee tamko Ritz Webabu FaizaFoxy Adiosamigo hili jambo tusilikubali haliwezekani. Israel si ilashamalizwa na Hamas, Hizbu ,Iran na Syria? Na Houth?
 
Huyo aliye pindua Syria ni puppets wa US na Israel, walimtumia wakati wa Al Qaeda na wakati wa ISIS. Tuliwambia ISIS ni jeshi la USA na Israel mlikuwa mnabisha, ukweli huwa haufichiki.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano mzuri na Israel.

Hatuna hofu na Israeli, na shida yetu sio kwa Israeli," anasema. "Kuna watu wanataka kuishi pamoja. Wanataka amani. Hawataki mabishano.”

Tunataka amani, na hatuwezi kuwa mpinzani wa Israel au mpinzani wa mtu yeyote,” anasema

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

December 27, 2024

Damascus governor: ‘We have no fear toward Israel… there exists a people who want coexistence’

Today, 7:57 am

In an interview with NPR said to be on behalf of Syrian leader Ahmed al-Sharaa, the governor of Damascus says the newly-installed government wants to have good relations with Israel.

Maher Marwan says that Israel’s initial trepidation after the fall of former president Bashar al-Assad was “natural.”

“Israel may have felt fear,” he says. “So it advanced a little, bombed a little, etc.”

“We have no fear towards Israel, and our problem is not with Israel,” he says. “There exists a people who want coexistence. They want peace. They don’t want disputes.”

“We want peace, and we cannot be an opponent to Israel or an opponent to anyone,” he says
Kobazi hawapendi kuona taifa lolote linakuwa na mahusiano mazuri na amani na israel.

Kimsingi ukobazini hii habari imewauma sana wanatamani wavae mabomu wakajiripue kwa hasira.
 
Huyo aliye pindua Syria ni puppets wa US na Israel, walimtumia wakati wa Al Qaeda na wakati wa ISIS. Tuliwambia ISIS ni jeshi la USA na Israel mlikuwa mnabisha, ukweli huwa haufichiki.
Haiwezekani Waarabu wakatumika na Makafir. Hilo nakataa. But Iran ipo pale na Russia. Sielewi imekuaje kuwaje. Na Israel ilishapigwa vibaya na kufutwa sasa mbona hapa kama unachanganya mambo?
 
Syria wameshasema wazi kwamba wamechoka na vita visivyo na maana hivyo hawana muda tena wa kufarakana na mtu hivyo ni vyema Iran ikatambua hilo.

Kwa ujumla hata mataifa mengine ya kiarabu nayo hayataki kabisa vita kwa sababu waliishagundua kwamba hawawezi kushinda kwenye hivyo vita.

Iran kama anajifanya mbabe aachane na vikundi vya kigaidi aende moja kwa moja akamkabili Israel kama ana huo ubavu.
Ni suala la muda tu yataibuka makundi mengine huko Syria na kuanzisha mapigano. Vita biashara ya watu na Middle East soko
 
Huyo aliye pindua Syria ni puppets wa US na Israel, walimtumia wakati wa Al Qaeda na wakati wa ISIS. Tuliwambia ISIS ni jeshi la USA na Israel mlikuwa mnabisha, ukweli huwa haufichiki.
Kwa hiyo ndivyo waislam walivyo ina maana hata wewe hapo wamarekani wakipenda kukuchukua ukawe gaidi unakubali tu.

NB: Usisahau kwamba Assad naye alikuwa ni kibaraka wa Iran.
 
Mwanzo mzuri sana kwa serikali mpya ya Syria. Amani, upendo, na utangamano ndio ustaarabu. To reinforce haya mambo, wasainishane mkataba wa amani chap itakuwa vyema sana.

Hao washenzi wanaofadhili makundi ya kigaidi ku-destabilize amani ya middle east waonywe.
Hawa jamaa sio wa kuwaamini kabisa, wakitulia wakashiba tende na harua kisha wakatandika mazuria wakaanza kupitia Kile kitabu chao aya baada ya aya ndio hapo watakapolianzisha
 
Kwa hiyo ndivyo waislam walivyo ina maana hata wewe hapo wamarekani wakipenda kukuchukua ukawe gaidi unakubali tu.

NB: Usisahau kwamba Assad naye alikuwa ni kibaraka wa Iran.
Nani kakuambia huyo ni Muislam, toka lini Muislam alikuwa Puppet? Hao ni majina tu ya kislam wanatumia, hawana sifa kabisa ya kuitwa Waislam. Mimi siwezi kuwa Puppet wa US au Israel, Qur'an ilisha tuambia hao watu hawana urafiki na Waislam. Unless ufate wanayo taka wao.

Tazama Yemen anavyo wazamishia Waisrael.

View: https://youtube.com/shorts/jerIWvuQGk0?si=16fFLuQBbmkanY5J
 
We unafikiri wanao anzisha makundi huko ni nani? Mambo ya huko ni beyond na tunavyo elezwa mitandaoni.

Nchi kadhaa zikishakuwa na interest na sehemu fulani tegemea machafuko na zigo la lawama kusukumiwa nchi nyingine
Kusini mwa tanzania na pwani miaka ijayo utakuja kustuka mambo si mambo.

Rejea mambo ya mkiru, mapango ya amboni emzi za magu
Magu aliwazima magaidi kikatili sana kwa njia ya jicho kwa jicho na jino kwa jino wakaishia kujazwa kwenye viroba.

Wakaona mahali hapa si salama tena, wakasepa zao Msumbiji.

Ila sasa hivi wakireflex muscles, watatusumbua, tena kwa sana tu.
 
Mwanzo mzuri sana kwa serikali mpya ya Syria. Amani, upendo, na utangamano ndio ustaarabu. To reinforce haya mambo, wasainishane mkataba wa amani chap itakuwa vyema sana.

Hao washenzi wanaofadhili makundi ya kigaidi ku-destabilize amani ya middle east waonywe.
We huna akili hivi hujui waasi wa Syria wanafadhiliwa na USA kwamba hujui Kurds miaka yote wanapewa silaha na USA, ila Iran akifanya hivyo mnasema anasupport ugaidi! Hivi hujui hata Israel una support waasi wa huko Libya ila akifanya Iran mtasema ni ugaidi!! Mnakera sana nyie pro-israel
 
Naona umekuja katika rangi zako halisi.
 
Back
Top Bottom