Gavana wa Embu, Cecily Mbarire amemshutumu Gachagua kufadhili makundi ya vurugu kwenye maandamano ya Gen Z

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kufadhili makundi yenye vurugu kuingia kwenye maandamano ya vijana hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa mjini Embu na Kiritiri. Mbarire alisema kuwa hatua hiyo ilikuwa njama ya makusudi ya kumharibia sifa na kuonesha utawala wake kama dhaifu

Akitaja mkutano wa kisiasa uliofanyika Embu wakati wa uzinduzi wa wagombea wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Mbarire alidai kuwa mpango huo ulipangwa hapo na kwamba Mbunge wa Manyatta, Gitonga Mukunji, alitumika kama mtu wa karibu wa Gachagua ili kutekeleza njama hiyo ya kisiasa ya mgawanyiko na uharibifu.

Katika machafuko hayo, watu 23 walijeruhiwa akiwemo afisa wa polisi ambaye bado yuko mahututi katika Hospitali ya Embu Level 5. Taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kama KRA, NSSF, Post Bank, ofisi za serikali kuu na tawi la Safaricom Embu ziliripotiwa kuharibiwa vibaya

=====

Embu Governor Cecily Mbarire has launched a scathing attack against former Deputy President Rigathi Gachagua, accusing him of allegedly sponsoring violent groups to infiltrate recent youth-led protests and cause widespread destruction in Embu town and Kiritiri

Addressing the press after touring the damaged sites, Governor Mbarire decried what she described as a calculated effort by Gachagua, alongside a faction of local leaders, to incite unrest aimed at undermining her administration and leadership credentials.

"I am tired of the constant sabotage. These protests were hijacked and weaponized to paint my government as weak, yet we know where the orders were coming from," Mbarire said

According to the governor, the alleged plot to incite chaos was devised during a recent political gathering in Embu town, held during the unveiling of Democracy for the Citizens Party (DCP) aspirants. During the event, Manyatta MP Gitonga Mukunji was endorsed as the Gachagua-led party's preferred gubernatorial candidate for the 2027 elections.

Governor Mbarire accused MP Mukunji of acting as a proxy for Gachagua, advancing a "divisive and destructive political mission" intended to destabilize Embu County. She claimed Mukunji was directly involved in mobilizing and coordinating the violent protests that rocked the region

"These are not mere demonstrations - this is a targeted attack on Embu's stability and prosperity. I will not allow anyone, regardless of their political stature, to scare away investors or paralyze services," she added

Mbarire reported that 23 people were injured during the protests including 18 police officers. One officer remains in critical condition and is undergoing treatment at Embu Level 5 Hospital

Several government and private institutions were also affected, including the Kenya Revenue Authority (KRA), National Social Security Fund (NSSF), Post Bank, National Government offices, and Safaricom's Embu branch, all of which were extensively vandalized

Screenshot_20250627-140601_Facebook.jpg

Source: CITIZEN DIGITAL
 
View attachment 3385654

Source: CITIZEN DIGITAL
Hakuna waandamanaji hapo, kuna vibaka na majambazi wapora madukani.
 
Back
Top Bottom