pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hivyo ulivyo, hivi washukiwa wa kujaribu kumaliza Lissu wamekamwatwa?Umekaaje huu uzi?
Hivi Yule mchina tumeshamfukuza ?
Hivi
[emoji15][emoji15][emoji15] Ni nini kinaendelea hapa??? Watu ndio walevi au vipi? Sielewi.Umekaaje huu uzi?
sikujua kama uzi pia una makalioUmekaaje huu uzi?
Kenyan Catholic priest who publicly denounced the killing of opposition demonstrators by Kenyatta's government found deadHivyo ulivyo, hivi washukiwa wa kujaribu kumaliza Lissu wamekamwatwa?
Si ata mi nauliza[emoji15][emoji15][emoji15] Ni nini kinaendelea hapa??? Watu ndio walevi au vipi? Sielewi.
Kwenye postmortem walisema kwamba walimchanja chanja Sharon wakijaribu kumtoa mtoto ambaye alikuwa tumboni. Yaani hata kuwaza tu kuhusu hilo inanitia hasira sio mchezo.Nilikua nashuku wanambambikizia tu, lakini nimeshangaa kwamba ushahidi unaonyesha alihusika. Afungwe tu jela tena ikiwezekana anyongwe kabisa, jameni huyo marehemu alichezea visu mwili wote, aliyemuua alikua hana huruma, mnyama kabisa.
Mwanaume jifunze kutumia kondomu/mpira na uhakikishe baada ya matumizi umeitupa wewe maana kuna wanawake huiba mpira ukiwa na shahawa wanakwenda kwa madakari na kutumia hizo shahawa kupata uja uzito, hilo limewatendekea wanaume wengi haswa wenye mali na hadhi, unashangaa mwanamke anakuambia amebeba uja uzito wako ilhali ukikumbuka muda wote ulitumia mpira.
Mkifanya uchunguzi wa vinasaba/DNA inabainika kweli wewe ndiye mhusika wa hiyo mimba.
Wameshavuta bangi na imewakolea....Watu ndio walevi au vipi? Sielewi.
Nakwambia kuna maajenti wa shetani kwenye dunia hii. Waliomfanyia huyo mtoto unyama wa aina hiyo kama watahukumiwa kunyongwa lazima tutapetition rais U.Kenyatta akubalie wafanyiwe kweli.by the way, wamepata enough evidence? yaani the only person of interest kwangu hapa ni yule unborn baby...innocent child must get justice....and sharon's parents too...the pain must be unbearable
true trueNakwambia kuna maajenti wa shetani kwenye dunia hii. Waliomfanyia huyo mtoto unyama wa aina hiyo kama watahukumiwa kunyongwa lazima tutapetition rais U.Kenyatta akubalie wafanyiwe kweli.
actually nobody cares abt sharon..a woman who intentionally sleeps with a married man & forces a pregnancy for financial gain is not a woman to be pitied....the problem is the unborn baby who hasn't got a chance at life because of the mistakes of a few adults...plus the parents of sharon who are also hurting despite not being involved in any of these affairs...whichever way you want to look at it, justice needs to be served for the few victims who are obviously innocent and have been caught in the crossfireThis is just a family issue. Sharon ni malaya ambaye aliingilia ndoa ya Okoth Obado.
Ingekuwa wewe ndiye bibi ya obado, halafu upate habari kwamba kuna mwanamke ambaye ana haribu ndoa yako ungefanya nini? Ama wewe kama mtoto wa obado usikie kwamba kuna mwanamke anaingilia ndoa ya mamako na babako?
Tuwe wakweli sio wanafiki..Wasichana wadogo waachane na mabwana wa wenyewe..Msiba utakoa kukupata wewe unaye ingilia ndoa utakua mkali.
Mtoto hana hatia, Although Obado/Obado's wife wanted sharon to abort the child.actually nobody cares abt sharon..a woman who intentionally sleeps with a married man for financial gains is not a woman to be pitied....the problem is the unborn baby who hasn't got a chance at life because of the mistakes of a few adults...plus the parents of sharon who are also hurting despite not being involved in any of these affairs
Tangu lini mauaji yakawa ni 'family issue'? Unataka kutuambia kwamba Sharon ndiye aliyemtongoza gavana? Unaita mwendazake malaya kwani wewe ndiye mke wa Okoth Obado? Ashakum si matusi, lakini wewe mzee ni mpumbavu kupindukia. Hata malaya ni binadamu pia, ingekuwa ni dada yako ndio ungeelewa uchungu wa familia ya Sharon Otieno. Hakuna mtu ana haki za kupokonya maisha ya binadam mwenzake.This is just a family issue. Sharon ni malaya ambaye aliingilia ndoa ya Okoth Obado.
Ingekuwa wewe ndiye bibi ya obado, halafu upate habari kwamba kuna mwanamke ambaye ana haribu ndoa yako ungefanya nini? Ama wewe kama mtoto wa obado usikie kwamba kuna mwanamke anaingilia ndoa ya mamako na babako?
Tuwe wakweli sio wanafiki..Wasichana wadogo waachane na mabwana wa wenyewe..Msiba utakoa kukupata wewe unaye ingilia ndoa utakua mkali.
Its not unique to Kenya, it is a true reflection of the rotten nature of humankind. Najua kinachofata ni wewe kuanza kumlaumu rais U.Kenyatta. What a shame, that in your old age you haven't yet grown up.Mtoto hana hatia, Although Obado/Obado's wife wanted sharon to abort the child.
They are all murderers, thieves and manupulators. But this is the true reflection of kenya's Society