Nilikua nashuku wanambambikizia tu, lakini nimeshangaa kwamba ushahidi unaonyesha alihusika. Afungwe tu jela tena ikiwezekana anyongwe kabisa, jameni huyo marehemu alichezea visu mwili wote, aliyemuua alikua hana huruma, mnyama kabisa.
Mwanaume jifunze kutumia kondomu/mpira na uhakikishe baada ya matumizi umeitupa wewe maana kuna wanawake huiba mpira ukiwa na shahawa wanakwenda kwa madakari na kutumia hizo shahawa kupata uja uzito, hilo limewatendekea wanaume wengi haswa wenye mali na hadhi, unashangaa mwanamke anakuambia amebeba uja uzito wako ilhali ukikumbuka muda wote ulitumia mpira.
Mkifanya uchunguzi wa vinasaba/DNA inabainika kweli wewe ndiye mhusika wa hiyo mimba.