Gavana wa kaunti ya Mombasa atamba Magufuli amerudi, sasa ni kazi tu

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Gavana wa kaunti ya Mombasa nchni Kenya aliyeapishwa juzi amesema uchaguzi umekwisha na sasa ni kazi tu, huku akiwahakikishia Wakenya kuwa marehemu Magufuli amerudi nchini humo kwa hiyo watarajie kuona taifa lao likipaa kiuchumi kwa spidi kubwa.

Sikiliza mwenyewe video hii.

Itakuwa vizuri kama atawapelekea moto kama Mwendazake Ili investors wakimbie nao watuaubirie kwenye maendeleo..

Asisahau kuteka na kupora pesa za matajiri kwa kuwa wanyonge almaarufu hustlers wa Kunyaland ndio wamemchagua..
 
Kwa katiba yao hilo haliwezekani, systems za checks and balance zipo vizuri, jaji malaga alifuta uchaguzi na kuomba urudiwe na ukarudiwa , this time around mahakama imefanya kazi yake bila interruption, na kufanya maamuzi ambayo si tu hayakumfurahisha raila bali pia Uhuru.
 
jaji malaga=jaji Maraga.
 
It's about working for results they mean cushion of best part of him, timely, goal minded, results oriented, monitoring, evaluation etc, value for money, deadline minded, cost sensitive.
 
Back
Top Bottom