Gavana wa kaunti ya Mombasa atamba Magufuli amerudi, sasa ni kazi tu

Gavana wa kaunti ya Mombasa atamba Magufuli amerudi, sasa ni kazi tu

Itakuwa vizuri kama atawapelekea moto kama Mwendazake Ili investors wakimbie nao watuaubirie kwenye maendeleo..

Asisahau kuteka na kupora pesa za matajiri kwa kuwa wanyonge almaarufu hustlers wa Kunyaland ndio wamemchagua..
Kenya Kuna uhuru uliopiganiwa kwa damu
 
Essex Hall wanachanganyikiwa, mamilioni yote wanayotumia kusambaza uongo kama wa hilo jitu huko juu na bado MAGUFULIANS wapo....Aikambe...

Magulification. is Real.
 
Wote huwa wanaanza vizuri wampe miezi sita tuone
 
Watu watazidi kuumizwa tuu na JPM wakati keshatangulia mbele ya haki.

Haya ni Maaajabu Ndugu yangu
Pole, ndio maajabu ya DUNIA.
Na yule Bibi wa WESTMINSTER angezikwa na lile gari la Dhahabu, huko aendako ndie angemjua Magu vizuri. Lazima anglirudisha South Africa. Lina Tani ngapi lile??
 
Kosa kubwa sio hilo kama ni haki za Binadamu Kagame,Museven na madikteta wengine wanavunja kila siku..

Aliharibu Uchumi Ndio Kosa Hilo..
Uchumi wa Wapi?
Tanzania hiihii iliyokuwa inasifiwa na IMF,WB,ADB kumbe walikuwa waongo hivyo?

Uzuri tunajua ni Waongo, waliojaa uhasama hasi.

Kiukweli Uchumi wa majangili ulikuwa mbovu. Mpaka wengine kujibankrupt, alafu munawaita wawekezaji, wanaleta Capital....salaleh kumbe walikuwa wanategemea kunyonya./ Tanzania!
 
Ilisifiwa lini na hao uliowataja? Hujui kwamba miaka 5 iliyopita uchumi uliporomoka kwa kiasi kikubwa?

Uliwahi kuona wapi uchumi ukakua bila Uwekezaji na matumizi ya saruji kupungua?

Kila sekta ilikufa kuanzia sekta ya real estate hadi biashara..
 
Ndio nimesema Poleni.
Umeenda mtaani lakini au.
We lazimisha utakavyo, ukweli nao Upo.

Kuporomoka! Kha!
 
Ndio nimesema Poleni.
Umeenda mtaani lakini au.
We lazimisha utakavyo, ukweli nao Upo.

Kuporomoka! Kha!
Kwamba nimeenda mtaani? Kwani naishi mbinguni? Unataka usemeje labda?

Nimeshakwambia uchumi uliporomoka kwenye kila sekta na ndio maana sasahivi husikii biashara zikifungwa Wala wawekezaji wakikimbia Wala tatizo la ajira..

Kwa akili yako unadhani welfare iko vizuri saizi au kipindi cha Mwendazake?
 
Ndio nimesema Poleni.
Umeenda mtaani lakini au.
We lazimisha utakavyo, ukweli nao Upo.

Kuporomoka! Kha!
Mimi binafs naona mabdidiliko chanya toka Rais Samia amechukua nchi kama ifuatavyo;

Watu masokoni wanajaa kununua vyakula, petrol station magari yanaingia na petrol station zinaendelea kujengwa, mabasi ya mikoani yanajaza abiria wanaokwenda na wanao rudi. Kariakoo sasa hivi hakuna matangazo ya "Fremu inapangishwa". Mitaani sijaona mtanzania anakufa kwa njaa. Ujenzi wa Nyumba na magorofa kwa Dar es Salaam unaendelea kila mahali na ukienda Benki unakutana na angalao wateja wanne wako foleni.

Hali ya uchumi ni nzuri sana wakati huu wa Samia kuliko wakati wa DIKTETA
 
Pamoja na kuwa msoga gang kutumia nguvu nyingi kumchafua mzalendo magufuli lakini bado anakumbukwa kimataifa
 
Back
Top Bottom