Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Sasa Mimi nahusikaje na chadema?Chadema hawana ofisi ya chama kwa miaka 33 sasa
Kwa katiba yao hilo haliwezekani, systems za checks and balance zipo vizuri, jaji malaga alifuta uchaguzi na kuomba urudiwe na ukarudiwa , this time around mahakama imefanya kazi yake bila interruption, na kufanya maamuzi ambayo si tu hayakumfurahisha raila bali pia Uhuru.Itakuwa vizuri kama atawapelekea moto kama Mwendazake Ili investors wakimbie nao watuaubirie kwenye maendeleo..
Asisahau kuteka na kupora pesa za matajiri kwa kuwa wanyonge almaarufu hustlers wa Kunyaland ndio wamemchagua..
Kukalilisha ndio kufanyaje we nyau ya lumumbaWaliokukalilisha umchukie bado wameolewa ubelgiji
jaji malaga=jaji Maraga.Kwa katiba yao hilo haliwezekani, systems za checks and balance zipo vizuri, jaji malaga alifuta uchaguzi na kuomba urudiwe na ukarudiwa , this time around mahakama imefanya kazi yake bila interruption, na kufanya maamuzi ambayo si tu hayakumfurahisha raila bali pia Uhuru.
Asante , but im not r ,l victim , nimekosea tu nilikuwa silijui jina vizurijaji malaga=jaji Maraga.
Magufuli ni alama ya kazi iliyotukuka, uchapaji kazi na Uzalendo wa kweli.
LEGACY HAIFUTWI NA TIMU MSOGAMIA