Gavana wa Kivu Kusini Kongo atoa tahadhari kuwa kuna uwezekano wa Kivu kusini kuzalisha wakimbizi kuja Tanzania

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Tarehe 4/02/2025 Gavana wa Kivu Kusini Kongo alitoa tahadhari kuwa kuna uwezekano wa Kivu kusini kuzalisha wakimbizi Tanzania endapo makundi ya waasi wa Maimai na Wazalendo hawataingia vitani kupigana na M23

Je Tanzania tumejiandaa kuwapokea?

Msikilize huyo Gavana mwenyewe Jean Elakano akihutubia eneo a FIzi ,kongo

View: https://youtu.be/WBs4kPH9IbI?si=uPcG8noTGGCUI0kt
 
Buji mambo ya Kivita na sheria zake za kimataifa upo down sana upgrade yourself
Heshima kwako ras jeff kapita , swali langu lilikuwa ni swali mbegu, kuwafanya watu wayatafute maarifa zaidi ya kivita.

Vita ya Vietnam na Marekani, ilikuwa inarushwa live, na Wamerekani walijionea jinsi wanajeshi wao walivyokula kipondo cha mbwa Koko kiasi cha kuleta taharuki kwenye taifa hillo.

Hiyo ikapelekea kukatishwa kwa live broadcast.
 
Tumepeleka jeshi Congo, hivi kwanini vita huwa haionyeshwi live?
Swali la msingi: "......hivi kwanini vita huwa haionyeshwi live?"
Inaonyeshwa.
Kumbuka vita sio kama mechi ya Simba na Yanga. Mambo mangine ni siri vitani lakini pia picha mjongeo (video) kuonesha tukio halisi lilivyokuwa hupatikana ila ni baadaye kwenye satelite images au kutoka kwa waandishi habari nguli kama wale waliokuwepo zamani Aljazeera au kutoka kwa wapiganaji wenyewe.
 
Hayo yanataka pesa nyingi sasa nani atagharimia hizo gharama za kurusha satellite za kimataifa kwa dolankurusha matangazo? Ujue JWTZ ni kikosi kifogo tu chini ya majeshi ya nchi tofauti yaliyo chini ya Monusco
 
Yeah. Ni kazi ngumu kweli kweli na gharama kubwa.
 
Hayo yanataka pesa nyingi sasa nani atagharimia hizo gharama za kurusha satellite za kimataifa kwa dolankurusha matangazo? Ujue JWTZ ni kikosi kifogo tu chini ya majeshi ya nchi tofauti yaliyo chini ya Monusco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…