Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Tulisha zoea kuwa mtu akiweka fedha bank zinawekewa Riba itokanayo na Bank kufanyia biashara hizo fedha kama kukopesha, bonds nk ambapo hiyo faida pia ndio hutumika kuendeshea Bank. Kwa maana hiyo fedha za mteja hubakia kama zilivyokuwa au pengine kuongezeka kidogo;
Kwa sasa naona hali ni tofauti kwani Ukiweka fedha baada ya muda wanakata tozo kibao na sijui hawaweki faida hivyo; zinapungua; hii ikoje?
Kwa sasa naona hali ni tofauti kwani Ukiweka fedha baada ya muda wanakata tozo kibao na sijui hawaweki faida hivyo; zinapungua; hii ikoje?