Hao ni matapeli na walaghai wasio na haya, serikali yenyewe ni aibu, utampatiaje mtu sh 76? Hainunui ht msg kwao! Wezi wasio na hayaHabari zenu Wanabodi?
Natumai mpo vizuri,
Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200.
SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu, ukija kusikia mtandao wakinadi, utasikia wametoa gawio la 2B, sasa si Bora wakateua watu wachache kwa kuangalia hata transaction nyingi na kubwa walizofanya Kisha wakawapa hata kuanzia 1M nakuendelea kuliko kututmia Sisi hiki Kiasi kidogo. Au kwamba wakituma Kiasi kidogo ndo hawakatwi Kodi kuliko Kiasi kikubwa.
Nawasilisha
Yan msg inatumwa alfajiriNakasirikaga sana unasikia "IMETHIBITISHWA"kumbe upuuzi tu
Wanakera sana,kustuana mioyo tuYan msg inatumwa alfajiri
"Wakati wa ujana wangu Mimi baba yenuuuuuu,Kama ulikuwa na 800 kwenye simu inakuwa buku π
We unaimba huku."Wakati wa ujana wangu Mimi baba yenuuuuuu,
wakati wa ujana wangu Mimi baba yenuuuuuu,
Sati dukani shilingi sita unapata,
kwa hivi sasa shilingi sita hata soda hupatiiii...." Maalim Gurumo.
Nani huyo aliyekugusa? Leo naua mtu!We unaimba huku.
Halafu Kuna mtu ananichezea kule kwenye Uzi wa wanawake wenye Macable ππ
Basi baba msamehe Bure πNani huyo aliyekugusa? Leo naua mtu!
Haya, nimemsamehe kwa kuwa wewe umesema.Basi baba msamehe Bure π
Ndo maana nakupendaHaya, nimemsamehe kwa kuwa wewe umesema.
Tuzidi kupendana babeπ₯°Ndo maana nakupenda