Gawio la mitandao ya simu ni kero tupu

Hv wale watu wanaosemaga maybe nafanya kazi ili hata iniingizie mia mbili mia tatu hua wana maana gani?
 
Mimi umeingia sh2!
 
Kuna zile tuma 1 kwenda 15743 upate 300 bure kwenye akanti yako
 
2B gawanya kwa wateja milioni 20 ndo hio 100
 
Kwa vodacom gawio hua zuri kama umeweka pesa kwenye akaunti za akiba binafsi mi hua naweka kwenye MGODI walau gawio liko poa kila mwezi.. sema walau uwe na akiba ya milion plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…