M mwanadodoma JF-Expert Member Joined Mar 12, 2024 Posts 344 Reaction score 653 Jun 17, 2024 #1 Heri ya Sikukuu ya Eid. Mimi ni mwanahisa wa NMB Bank. Nauliza kama wameshatuwekea Gawio maana sijaona meseji ya muamala!!!kwa mwanahisa mwenzangu msaada tafadhali
Heri ya Sikukuu ya Eid. Mimi ni mwanahisa wa NMB Bank. Nauliza kama wameshatuwekea Gawio maana sijaona meseji ya muamala!!!kwa mwanahisa mwenzangu msaada tafadhali
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Jun 17, 2024 #2 wanahisa mnaitwa