Watu wa ukumbi huu toka juzi naona tunapata gawio la YAS wanaita HALAL, hizi ni hela ambazo binafsi sijui zinatoka wapi wala kazi ipi nilifanya mpaka nikapokea malipo haya, kwa lugha rahisi hii ni riba na kwa sisi waislam riba imekatazwa kwa mujibu wa Imani yetu ya Dini ya Kiislam,
YAS waache kutuma hivi vihela tusivyojua matumizi yake wala kazi iliyofanyika mpaka kupokea miamala hii kwenye simu.
YAS waache kutuma hivi vihela tusivyojua matumizi yake wala kazi iliyofanyika mpaka kupokea miamala hii kwenye simu.