Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Kumbe wanajua hili jambo halifanywi na hata hayawani.
Let us assume kweli wanafanya then what? Mpiga picha na mleta mada hiyo promo iwarudie huko mliko
 
Daah! Huyu mwandishi lazima na yeye ni gay
 
Hii habari imepigwa promo balaa, nimeiona kwenye mitandao mingi ya kijamii na tovuti za magazeti, sijui mnataka kutuaminisha nini, kama vipi mngepiga picha kabisa za kiporno tuone kweli hilo dushe kama liliingia humo, tutajuaje kama walikua wanakumbatiana tu kama simba ndugu.
 
Nmecheka utasema mazur et lisimba linatoa na ulimi nje kabisa kwa utamu sgubaamit zao
 
Reactions: mk4
Nyi ni wale mtakutwa d*ck inside a man and still say "no homo"
 
Nyi ni wale mtakutwa d*ck inside a man and still say "no homo"

Your photos here are not convincing enough, you guys are using too much energy to promote this event but are not trying to make it look real.
Get us a picture similar to the one below and we will believe you.

 
Its what you want people to think
But naturally most animals have sex with purpose unlike human. Sasa mbwa dume na dume au mnyama yeyote yule dume kwa dume huwez kuta.
Kuna hii kitu iko sana katika binadam
Binadam wengi wanatamani kile wanachokifanya au kukiamini kiwe natural. Jua2 ushoga sio kitu cha kawaida kokote kule
 
Yaaani BINADAMu anashauriwa amuige Mnyama?
 
Iam gay and proud of it, sijui nyie mnateta nini na Haya mambo yalianza zamani, all of us need to embrace the gay pride!
 


ahaaa haaa haaa nacheka si kwamba nafurahi. lkn nasikitika. I read a lot of literatures on the matters. but guy to cut a story short. orientation is not natural is unnatural.

kuna kitabu nilisoma miaka 20 iliyopita catastrophe: the future survive for American families.
na kingine: principle of philosophy of law.
ndo utajua homosexualism is offending the natural law.
 
Your photos here are not convincing enough, you guys are using too much energy to promote this event but are not trying to make it look real.
Get us a picture similar to the one below and we will believe you.

Na wewe unapenda ngono, yakuambiwa hutaki mpaka uone 100/100. Duh. Unasemaga Kenya mnajuwa kuchangamkia fursa ya kujitangaza, haya fusra hiyo changamkeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…