Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Pamoja na kuzuiwa na Israel Meli iliyokuwa na misaada Gaza Flotilla ilianza safari yake kuelekea Gaza ambako wanajua wazi kuwa hawawezi kwenda kwa sababu ya mzingiro wa kijeshi eneo hilo kufuatia vita vinavyoendelea huko Gaza.
Meli hiyo ikiwa imejaza misaada mbalimbali ya ki binadamu leo hii imeshambuliwa na Drone isiyojulikana na Wahusika wa ndege hiyo wameonyesha uharibifu mkubwa kwenye Meli hiyo uliotokana na shambulio hilo la Drone.
Gaza Flottila wakati inashambuliwa ilikuwa kwenye eneo la kimataifa (International water) Na wanailaumu Israel kwa shambulio hilo.