Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri the Hague wangeanza kupelekwa Hamas walichofanya October 7 ni mauaji ya wayahudi ila hili tukio wavaa dera na kobazi huwa mnashangiliaTarehe 11 the Hague wameitwa
Hamas ni Magaidi, hawapelekwi the Hague.Nafikiri the Hague wangeanza kupelekwa Hamas walichofanya October 7 ni mauaji ya wayahudi ila hili tukio wavaa dera na kobazi huwa mnashangilia
Mnatafta vichaka vyakujifichia sasa eti wazayuniPalestine ikiachwa mnasema Israel imeshindwa vita wamekimbia ikitandikwa Hamas mnasema mauaji ya kimbari ya wapalestina
Wazayuni wanaokalia Palestine kimabavu wanatakiwa kufutwa wote na hakuna tatizo kwenye hiliNafikiri the Hague wangeanza kupelekwa Hamas walichofanya October 7 ni mauaji ya wayahudi ila hili tukio wavaa dera na kobazi huwa mnashangilia
wameshinwa kikamilifu ndo maana wanarudi kwao bila kukomboa mateka bila kuifuta hiyo HAMAS...we unaonaje sio kushindwa hukoPalestine ikiachwa mnasema Israel imeshindwa vita wamekimbia ikitandikwa Hamas mnasema mauaji ya kimbari ya wapalestina
hamas ni jeshi la taifa la wapalestinaHamas ni Magaidi, hawapelekwi the Hague.
Wanatakiwa wakamatwe na kuchukuliwa harua kwenye nchi husika kwa ugaidi walioufanya.
Israel ni Taifa na serikali iliyoingia ktk mikataba kadhaa ya kimataifa baada ya 1948. Uhalifu wa kivita wanaoufanya ndo umewafanya waitwe the Hague kujibu tuhuma.
Elewa kwanza mantiki ndo uje kk