Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la Israel limetoa salamu za Pole baada ya kombora lake kupiga kituo cha mpakani cha RAFAH upande wa Misri. Mara nyingi Israel hushambulia kituo hicho lakini upande wa GAZA. Kituo hicho ndio njia pekee ya kutoka na kuingia GAZA ambacho hakidhibitiwi na Israel.
Hata hivyo, Misri bado haijatoa tamko lolote mpaka sasa. Hayo yanajiri baada ya msafara wa pili wa Malori 18 ya msaada wa kibinadamu yakiingia Gaza kutokea upande wa Misri. Hata hivyo Israel imesema Malori hayo yaliingia bila Israel kujulishwa na hivyo kukiuka Usalama wake. Malori ya Msaada 20 ya kwanza yaliingia Gaza baada ya Marekani kuishawishi Israel ikubali msaada huo kuingia GAZA.
View: https://youtu.be/ZB2SqgnkbP0?si=DkmQokKOD6KUwsZ3View attachment 2789569
Kwann?Usiandike usiyoyajua
Nadhani unachukulia kuwa kuanzisha vita ni jambo rahisi, hapana haya mambo ya vita unaweza kuyaingia na usijue njia ya kutokea, vita ni maafa na gharama kubwa kabisa inaweza kukurudisha nyuma miaka 20 na miaka 20 ku recover. Angalia mfano vita vya Russia na Ukraine kuna mtu anajuwa njia ya kutokea? hakuna mwisho nchi tajiri tu zinachoka resource na kusupply. Egypt na Israel wana mkataba wa amani hawa wote wanajuwa maafa makubwa kuingia katika kupigana na hata kama USA ila majanga yake tutasimuliana mpaka kizazi kijacho. kwanini? History inatufundisha tunajuwa nini mpaka leo Iraq kilitokea au Afghanistan. unaweza kushinda vita sasa kuleta amani au kusimamia amani hapo sasa ndio majanga.Atakutana mkoko wa USA, hapo Egypt lazima afunike kombe yaishe
Wewe kijana kama hujui kwa sasa Israel ndio Marekani na Israel ndio IsraelSo,kumbe ni vita ya USA against Palestine siyo?
Sasa hiyo nguvu ambayo mnaisifu nayo Israel kumbe bila kusaidiwa hawawez?
Cha ajabu zaidi wakiona Hezbollah na nchi kama Iran zinaside na Palestine wanakasirika na kulalama wanataka vipi Sasa.
Allahwu akwabar ndiyo nini?Kwann?
Ni maneno ya kiarabu nayasikiaga mtaani mara kwa maraAllahwu akwabar ndiyo nini?
Kwahiyo hujui hata yanavyoandikwa hivyo umeamua ujiandikie tu!Ni maneno ya kiarabu nayasikiaga mtaani mara kwa mara
Mimi sijui kiarabu mkuu...nmeandika navyosikia wanavyosema mzee kwani vipi? Mbn kama unamind vitu vidogo sana, Wewe mwarabu nini?Kwahiyo hujui hata yanavyoandikwa hivyo umeamua ujiandikie tu!
Wewe unaona kunywa na kunya ni neno moja? Na kosa hilo la kiuandishi unaona ni kitu kidogo tu? Uoni kama umepotosha maana nzima ya neno ulilokusudia?Mimi sijui kiarabu mkuu...nmeandika navyosikia wanavyosema mzee kwani vipi? Mbn kama unamind vitu vidogo sana, Wewe mwarabu nini?
Mimi sijali maana sio lugha yangu na wala nilikuwa siandiki kitabu kinachohitaji uhakiki wa fasihiWewe unaona kunywa na kunya ni neno moja? Na kosa hilo la kiuandishi unaona ni kitu kidogo tu? Uoni kama umepotosha maana nzima ya neno ulilokusudia?
Basi sawa.Mimi sijali maana sio lugha yangu na wala nilikuwa siandiki kitabu kinachohitaji uhakiki wa fasihi
Asante kwa kuelewaBasi sawa.
Sijaelewa ila nimeacha tu yapite.Asante kwa kuelewa
Basi inshwallahSijaelewa ila nimeacha tu yapite.