Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Wapiganaji wa Al-Qassam (H@M@S)wakilenga wanajeshi 10 wa Israel waliojificha nyuma ya kifaru.
Source TRT
Source Aljazeera
Pamoja na kusaidiwa na Nchi za Magharibi kubomoa maghorofa, kupiga mahospitali, mashule, kuuwa wasio na hatia, waandishi wa habari (Journalists), walimu, watoto, wamama, wazee, vijana. Pamoja na yote hayo! Lakini bado wameshindwa kupambana na jeshi la Al-Qassam (Hamas), na wanajeshi hao wa kizayuni wakiendelea kuuawa. ALLAHU AKBARU.
Allah husimama na mwenye haki, in shaa Allah ushindi unakuja. Nasema hivi👉 kwa uwezo wake Allah tutashinda vita hii in shaa Allah!
Mods nawaomba msiufute ama kuuhamisha uzi huu, Ituzaingo Argentina