Gazeti An-Nuur ligawiwe bure mashuleni

Gazeti An-Nuur ligawiwe bure mashuleni

Mbona kama jina la Uislamu.?

Wenye akili timamu wote watajitenga na ugaidi
 
WAISLAMU WENYEWE HAWAITAKI WAKIPEWA BURE MISIKITINI WANAFUNGIA MANDAZI
 
Kwanza tuanzie hapa
Ann Nuur ni nan na maana yake nini?
Pia ni lugha gani hiyo?
 
Wasomi waislamu Kuna vitu viwili hawataki moja kusoma Gazeti la Al nuur na pili maprofesa wa kiislamu wengi hawataki kwenda kufundisha chuo kikuu Cha kiislamu Morogoro

Chuo kile Cha Morogoro Muslim University hakina maprofesa kwenye vitivo vyake hawataki hata kukisikia
 
MUM ni madrasa ya watu wazima,wanafunzi wanakula bakora kama kawa,hakuna profesa mwenye akili timamu akaenda kufundisha pale.
 
Back
Top Bottom