S Sekenyula Member Joined Mar 12, 2024 Posts 42 Reaction score 41 Mar 16, 2024 #1 Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi. Mathalani leo wamekuja na stori ya uchunguzi kuhusu maandamano ya Chadema na siri iliyojificha. Mwenye kujua zaidi atujuze
Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi. Mathalani leo wamekuja na stori ya uchunguzi kuhusu maandamano ya Chadema na siri iliyojificha. Mwenye kujua zaidi atujuze
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Mar 16, 2024 #3 Uhuru wa Habari
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 4,548 Reaction score 11,901 Mar 16, 2024 #4 Hakuna kitu hapo
U Unitman JF-Expert Member Joined Jul 14, 2021 Posts 511 Reaction score 671 Mar 16, 2024 #5 Mafisadi hao wahujumu uchumi hakuna kitu hapo.