McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu
Nimewaza tu hivi hili gazeti halina wahariri pamoja na cross checkers? Au hawa walikuwa wanawahi wapi to the point wamefanya kosa la wazi kama hili?
========
Gazeti maarufu la Kiingereza nchini Pakistan, Dawn, limeingia kwenye headlines duniani baada ya prompt ya ChatGPTkusahaulika kuondolewa katika moja ya makala zake.
Kupitia picha inayosambaa mtandaoni kosa hilo lilitokea kwenye Sehemu ya Biashara iliyopewa kichwa cha “Uuzaji wa magari unaongezeka mwezi Oktoba”, ambapo aya ya mwisho ilijumuisha mstari uliotengenezwa na AI jambo ambalo mhariri alisahau kufuta.
==========================
Pakistan’s leading English daily Dawn landed in an awkward spot after accidentally publishing a ChatGPT-style prompt in one of its stories. The slip appeared in a Business section report titled “Auto sales rev up in October”, where the last paragraph contained an AI-generated line suggesting edits, something the editor forgot to delete