Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa kuwa alizaliwa Mwaka 1950. Nchi ya Tanganyika ikapata Uhuru Mwaka 1961 akiwa na miaka 11 Uhuru gani kapigania miaka hiyo alikuwa katoto kanakunywa Uji... Mnapenda kusifia ujinga wa uongo tu.MPIGANIA UHURU asiyefahamika
Sirm ahsante kaka.Shukrani kwa historia iliyotukuka
Buchanan naam. Ofisi ya African Association ilijengwa New Street kati ya mwaka wa 1929 - 1933. Mkutano wa kutaka kubadili uongozi wa TAA kuwatoa wazee akina Mwalimu Thomas Saudtz Plantan akiwa rais wa TAA na katibu wake Clement Mohamed Mtamila ulifanyika Ukumbi wa Arnautoglo mwaka wa 1950. Halikadhalika uchaguzi wa rais wa TAA 1953 kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere ulifanyika hapo hapo Arnautoglo. Nyerere alichaguliwa Rais na Abdul Sykes makamu wake na TANU ikaasisiwa 1954 hapo New Street. Yote haya yamefanyika Kariakoo. Mikutano ya kwanza ya TANU ikifanyika Mnazi Mmoja hiyo pia Kariakoo na ukipenda Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu Pugu alikuja kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu Kariakoo.
Hapo ndipo palipopiganiwa uhuru wa Tanganyika na hiyo ofisi ya mwanzo ya African Association ilijengwa wakati wa uongozi wa Kleist Sykes mkazi wa Mtaa wa Kipata, Kariakoo.
Mzee, nimesoma Kitabu chako chote cha Maisha na Nyakati za Abduwahid Sykes sijaona mahali ambapo wazee wako wa Kariakoo wanapigania Uhuru, wakiwa peke yao, ndio maana TAA iliitwa "Chama cha Starehe!"Buchanan naam. Ofisi ya African Association ilijengwa New Street kati ya mwaka wa 1929 - 1933. Mkutano wa kutaka kubadili uongozi wa TAA kuwatoa wazee akina Mwalimu Thomas Saudtz Plantan akiwa rais wa TAA na katibu wake Clement Mohamed Mtamila ulifanyika Ukumbi wa Arnautoglo mwaka wa 1950. Halikadhalika uchaguzi wa rais wa TAA 1953 kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere ulifanyika hapo hapo Arnautoglo. Nyerere alichaguliwa Rais na Abdul Sykes makamu wake na TANU ikaasisiwa 1954 hapo New Street. Yote haya yamefanyika Kariakoo. Mikutano ya kwanza ya TANU ikifanyika Mnazi Mmoja hiyo pia Kariakoo na ukipenda Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu Pugu alikuja kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu Kariakoo.
Somo murua kabisa!Buchanan naam. Ofisi ya African Association ilijengwa New Street kati ya mwaka wa 1929 - 1933. Mkutano wa kutaka kubadili uongozi wa TAA kuwatoa wazee akina Mwalimu Thomas Saudtz Plantan akiwa rais wa TAA na katibu wake Clement Mohamed Mtamila ulifanyika Ukumbi wa Arnautoglo mwaka wa 1950. Halikadhalika uchaguzi wa rais wa TAA 1953 kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere ulifanyika hapo hapo Arnautoglo. Nyerere alichaguliwa Rais na Abdul Sykes makamu wake na TANU ikaasisiwa 1954 hapo New Street. Yote haya yamefanyika Kariakoo. Mikutano ya kwanza ya TANU ikifanyika Mnazi Mmoja hiyo pia Kariakoo na ukipenda Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu Pugu alikuja kuishi nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu Kariakoo.
Sorry. Ilikuwa ChattoWatu "wanapigania" uhuru mitaa ya Kariakoo!
Mbona unajichanganya mwenyewe? Unakubali kuwa wazee wa kariakoo walipigania uhuru ila walikua na watu wengine na sio peke yao halafu unasema TAA kilikua chama cha starehe!!! Kwahiyo hata hao wengine unaowakusudia wewe pia walikua members wa TAA kama chama cha stareheMzee, nimesoma Kitabu chako chote cha Maisha na Nyakati za Abduwahid Sykes sijaona mahali ambapo wazee wako wa Kariakoo wanapigania Uhuru, wakiwa peke yao, ndio maana TAA iliitwa "Chama cha Starehe!"
Kazi ya "kupigania" uhuru hasa ilifanywa kwa uongozi shupavu wa baba yetu wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere (RIP), japokuwa wewe unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuwa sio wa dini yako!
Dini imeingiaje tena hapa!??....hebu tubaki na moja tu la historia ya wazee wetu!udini hauna nafasi hapaMzee, nimesoma Kitabu chako chote cha Maisha na Nyakati za Abduwahid Sykes sijaona mahali ambapo wazee wako wa Kariakoo wanapigania Uhuru, wakiwa peke yao, ndio maana TAA iliitwa "Chama cha Starehe!"
Kazi ya "kupigania" uhuru hasa ilifanywa kwa uongozi shupavu wa baba yetu wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere (RIP), japokuwa wewe unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuwa sio wa dini yako!