Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Wewe hujui kuwa hii ni mada ya kidini? Kama kusoma hujui hata picha huoni?Dini imeingiaje tena hapa!??....hebu tubaki na moja tu la historia ya wazee wetu!udini hauna nafasi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui kuwa hii ni mada ya kidini? Kama kusoma hujui hata picha huoni?Dini imeingiaje tena hapa!??....hebu tubaki na moja tu la historia ya wazee wetu!udini hauna nafasi hapa
Pole broWewe hujui kuwa hii ni mada ya kidini? Kama kusoma hujui hata picha huoni?
Kama ni kupigania Uhuru Historia inatakiwa ianzie vita vya Majimaji au kabla ya hapo! Mzee ,Mohamed Said ameanzia tu pale anapopataka na kuishia anapopataka, ndio maana wengine nao wanaanzia wanapopataka na kuishia wanapopataka!Pole bro
Haya ni matatizo ya kutokusoma.Huwezi kuikubali UHURU mpaka imtaje unayempenda?.
Kwa mtazamo wako ,historia ya Uhuru imeanza 54.
Wale kina Mkwawa na Kinjeketile nao walikuwa wanapigania starehe!!!!.
Au haiwi mapambano mpaka awepo msomi !!!.
Weka sawa hii
Mapambano yalianzia AA yakarithiwa na TAA na baadae TANU.
Tafuta waanzilishi wake ili uondoe huo ugonjwa wa dini kaka.
Kama ulipigania UHURU halafu hufahamiki ujue kuwa hukupigania UHURU! Hivi Messi anaweza kucheza mpira vizuri kama inavyofahamika halafu asijulikane? Mara nyingine muwe serious!MPIGANIA UHURU asiyefahamika
Nafikiri kuna jambo hujaliweka sawa.Kama ulipigania UHURU halafu hufahamiki ujue kuwa hukupigania UHURU! Hivi Messi anaweza kucheza mpira vizuri kama inavyofahamika halafu asijulikane? Mara nyingine muwe serious!
Buchanan rudi kwenye kitabu soma historia ya Ali Mnjale na Salum Mpunga walipokuja kuhudhuria mkutano wa kwanza wa TANU 1955 uliofanyika Hindu Mandal Hall Dar es Salaam. Walikuja na ujumbe wafikishe TANU HQ kuomba Nyerere aende Lindi kusafisha hali ya hewa kwa sababu Kanisa lilikuwa linatisha watu wasijiunge na TANU likisema hao ni Waislamu wanataka kuleta vita kama ile ya Maji Maji mwaka 1905. Ukishasoma hapo mtafute Sultan Abdulrauf Songea Mbano mmoja wa majemadari wa vita hivyo na ukipenda mtafute pia Selemani Mamba. Kwenye kitabu ipo historia ya Maji Maji toa hofu. Nina mengi katika historia hiyo ukipenda naweza nikatoa darsa kwa faida yetu sote.Kama ni kupigania Uhuru Historia inatakiwa ianzie vita vya Majimaji au kabla ya hapo! Mzee ,Mohamed Said ameanzia tu pale anapopataka na kuishia anapopataka, ndio maana wengine nao wanaanzia wanapopataka na kuishia wanapopataka!
Hayo majina yalifutwaje?Buchanan ikiwa ulisoma kitabu changu utakuwa umejifunza mengi na kubwa ni kuhusu juhudi zilizofanyika kufuta majina ya wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika mmojawapo akiwa Abdul Sykes. Je hili waliofanya walifanya kwa kusukumwa na dini?
Buchanan rejea tena katika kitabu hili nimelieleza kwa kirefu katika kisa cha Abdul Sykes na Dr. Wilbert Klerruu walipokuwa pale TANU HQ wakiandika historia ya TANU miaka ya mwanzo baada ya uhuru.Hayo majina yalifutwaje?
Historia hujenga ujasiri.Buchanan rejea tena katika kitabu hili nimelieleza kwa kirefu katika kisa cha Abdul Sykes na Dr. Wilbert Klerruu walipokuwa pale TANU HQ wakiandika historia ya TANU miaka ya mwanzo baada ya uhuru.
Wenzetu weupe wanajitahidi kuyaacha mambo yatambulike yalivyo na ndio maana hawana huu utaratibu wa masuala ya kidini kwa kuwa hawategemei au kuishi kwa sababu ya dini.Wameipa dini heshima yake na maisha yao yanaendelea kwa namna walivyokubaliana.Hii ficha ficha ndiyo inayoleta mawazo mgandoNasikitika sana harakati za hawa watu kupuuzwa wakati wao ndio walio iletea uhuru Tanganyika.
Yes Nyerere did his part but these guys walifanya makubwa zaidi.
Kuwafanyia hivi hasa kutokana na IMANI yao si sawa hata kidogo.
Dhuluma waliofanyiwa hawakustahili na kwa hili naamini kabisa watu wanaficha ukweli ya kwamba asilimia kubwa(98%) ya waliotuletea uhuru walikua wenzetu wa dini ya KIISLAMU.
Historia lazima iwekwe sawa hakuna namna.
NB: mzee Said download app inaitwa camscanner playstore itakusaidia kuziedit picha za document kama hizi kisha ukatuletea kama zilivyo.
Hakika...Wenzetu weupe wanajitahidi kuyaacha mambo yatambulike yalivyo na ndio maana hawana huu utaratibu wa masuala ya kidini kwa kuwa hawategemei au kuishi kwa sababu ya dini.Wameipa dini heshima yake na maisha yao yanaendelea kwa namna walivyokubaliana.Hii ficha ficha ndiyo inayoleta mawazo mgando
Magis,Historia hujenga ujasiri.
Nafikiri wakati umefika kwa vyombo vya habari kuuelimisha umma kuhusu historia kuelekea uhuru.
Ni vyema pia watu wakakumbuka kuwa Tanzania haikuwa koloni,ilikuwa chini ya udhamini wa Muingereza.
Sasa ni kwa nini udhamini na si ukoloni itawasaidia watu kujua nini kilimpeleka Nyerere UNO na ni kina nani walisaidia safari hiyo na nini faida ya safari hiyo kwa Taifa la Tanzania.
Niwaombe wale wasiojua historia wajifunze na si kuleta hamasa za dini.
Mapambano yalianza kwa sababu za kibaguzi hivyo tusipokuwa makini wakati tunajadili,tutaangukia pia kubaguana kwa kuwa huwezi kuitenganisha imani ya kiislamu na waislamu ktk mapambano hayo kwa kuwa walibaguliwa kiutawala,kielimu na hata ushirikishwaji.
Konssciouz,Nasikitika sana harakati za hawa watu kupuuzwa wakati wao ndio walio iletea uhuru Tanganyika.
Yes Nyerere did his part but these guys walifanya makubwa zaidi.
Kuwafanyia hivi hasa kutokana na IMANI yao si sawa hata kidogo.
Dhuluma waliofanyiwa hawakustahili na kwa hili naamini kabisa watu wanaficha ukweli ya kwamba asilimia kubwa(98%) ya waliotuletea uhuru walikua wenzetu wa dini ya KIISLAMU.
Historia lazima iwekwe sawa hakuna namna.
NB: mzee Said download app inaitwa camscanner playstore itakusaidia kuziedit picha za document kama hizi kisha ukatuletea kama zilivyo.
Ningeficha Ujinga kama quote niliyoisoma sikuielewa lakini kila atakaeisoma ataielewa na thread nayo ipo wazi acha kutetea wapumbavu au na wewe ni mmoja wa hao wapumbavu. jf tupo makini na kila utakachoandika.Ebu ficha ujinga wako,anayezungumziwa ni mjukuu wa huyo unayemfikiria wewe
Huyu Niliyemquote kasema Marehemu ndie alikuwa mpigania uhuru asiyejulikana full stop i don't want more marumbano yasiyohitajika... ulitakiwa umuelekeze yeye. kuwa kazaliwa 1950 so hawezi kuwa mpigania uhuru au awe makini na anavyoandika visipotoshe watu ndio maana nakataa.Mlaleo soma taratibu. Kuna Kleist wawili. Babu Kleist Sykes Mbuwane muasisi wa African Association 1929 aliyemzaa Abdulwahid Sykes aliyeasisi TANU na kuna mjukuu Kleist Abdulwahid Sykes aliyefariki hivi karibuni ambae kazaliwa 1950. Kwa mchango wa Babu Kleist katika siasa za Tanganyika ya kikoloni Babu Kleist yumo katika Dictionary of African Biography (DAB) mradi wa Harvard na Oxford University Press. Naamini sasa umeelewa. Hakuna uongo katika haya.