Gazeti la HabariLeo lilivyoripoti juu ya kukamatwa mwandishi Erick Kabendera mwaka 2013

@Pascal Mayalla nimetazama baadhi ya vipindi vya saba saba sikuona PPR,hata nanenane nadhani hatutaiona PPR, nafahamu Eric alikuwa anaandika articles za kwenye The Economist ulizokuwa unazishabikia kinamna hapa JF... Naelewa usemayo....
 

Ukiwa tofauti na regime wewe sio raia!

Regime inaanza kuchekesha sasa,utoto unakua mwingi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee sijacheka kwasababu nimetaka kucheka hapana ila ilaa kazi kwelikweli basi mnaweza zichuja chuja habari au muishi kwa upepo fanya utafiti ukimaliza chili mpaka upepo ukipita unaweka vumbi hili linachukuliwa na upepo mwingine unapiga kazi wee ukipata vumbi unapumzika unaya kusanya ikija upepo mwingine unaweka vumbi mwishoni yatakutana sehemu moja
 
alafu kama unataka utengeneze urafiki au ufanye kazi na mtu tuna angalia namna yule mtu alivyo yaani pande zote tabia yake muonekano na akiwa kwenye shida iwe ana hasira au jambo baya limetokea ndio utajua unaenda nae vipi hilo pia lizingatiwe kama mtu ana influence na kuna mambo yanataka mipaka iekeni mzee


time cost life
 
Hapo mwisho ndio nimekuelewa ndugu pasco.

Pole kwa yote unayo yapitia.
 
hata mimi pia I'm paying the price, mambo ninayopitia sasa only God knows. Pole brother .....!!! Ni vema tuziishi nyakati huku tukitambua ya kwamba tunapita 'rough road
 
Pole kaka, uzuri umefunguka kwa hili,. Katiba mpya itakayowalinda wanahabari ndio jibu ya uonevu huu kwa waandishi wa habari.

"Information is power", . Nchi bila ya kuwa na habari za kweli, habari zisizo chujwa haiwezi kuwa na maendeleo ya kweli
 
Mayala,yajayo yanafurahisha
 
Wewe Ng'wanangwa Paskal Mayalla utakuwa kaongo! Gharama gani unalipa Mzee wa mapambio na masifu?
 
Kama kusema ukweli Kuna kulipa price za namna hii, basi tuna shida kubwa na serikali yetu... Maana yake HAKUNA Uhuru WA habari unaotakiwa..
Nikikumbuka wengi WA waliowahi kuhojiwa uraia, ishu kubwa ni kusema yasiyotakiwa na serikali ingawa ndo ukweli
 
Pole sana Pasco. Just be strong and continue the struggle. Just remember that weeping may endure for the night but joy comes in the morning. The morning draweth nigh so cheer up brother!
 
Poleni Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…