Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Angalia tarehe ya postbinadam wanafki sana, iwe mnajiita mpo nyuma ya. Kabendera ama against, mmeshindwa kuonyesha kua pamoja nae katika hili basi huo ni unafki): Hizo karma mnazotaja kumtisha nan? Kwamba nyie hamtakufa au!
QUOTE="Pascal Mayalla, post: 32330993, member: 17813"]
Wanabodi, mimi ni mwandishi wa habari, nimetokea kumfahamu Erick Kabendera, kiukweli kabisa, ni mmoja wa waandishi wa habari wachache humu nchini ambao ni vichwa vya ukweli hapa nchini kwetuTanzania, this guy is very intelligent.
Japo Tanzania tuna media nyingi na tuna waandishi wengi wa habari, lakini ni media chache na waandishi wachache ndio vichwa vya ukweli na ndio wanaoweza kufanya the real investigative journalism (IJ), Erick Kabendera is one of them.
Media za Tanzania, kwanza ni media local tuu na nyingi ni media njaa, dholfu bin taaban, zina survive kwa kutegemea matangazo na sio viewership, readership or circulation, hivyo haziwezi kupublish vitu concrete kama investigative stories, matokeo yake stories za Eric zinaogopwa na media njaa za ndani hivyo haziwi published locally as a result Erick kulazimimika kupeleka stories zake nje ya nchi, hivyo huyu sio local journalist, he is an international journalist.
Kiukweli kwenye international media industry, Tanzania tuna waandishi wachache sana wa viwango vya kimataifa, Erick is one among the few and he is among the finest gold kwenye media we have. Ukiondoa Watangazaji wa Tanzania kwenye radio za kimataifa, waandishi Watanzania wenye status ya international correspondents wa international media na multinational media ninaowajua mimi, hawazidi 5 na Eric is among them.
Ila pia kwa sisi waandishi wa bongo, japo tunatakiwa kuwa wakweli na kuandika ukweli, tunapaswa kusema ukweli objectively, lakini ukiwa mkweli too much ni tatizo, na sio kwetu tuu, ni duniani kote.
Ukiwa mkweli sana, there is a price to pay.
Wengi mnakijua kilichomkuta Kashogi, Asange na waandishi wengi wa kimataifa, hata hapa kwetu, tulikuwa na kina Stan Katabalo, paid the price, Azory Gwanda paid the price, Ben Saanane paid the price, Generali Ulimwengu paid the price, Aidan Eyakuze is paying the price, hivyo hiki anachopitia Erick Kabendera is paying the price, and it depends on individual strength kuendelea kuwa mkweli and foot the bill or kiji submit na kuendelea na maisha, hata mimi pia kwa kuwa mkweli kwa kuuliza maswali yoyote kwa yeyote, I'm paying the price on my own way, mambo ninayopitia sasa, mimi na kampuni yangu ya PPR, only God knows!.
One thing I'm sure of, 100%, baadhi ya haya mambo sisi waandishi tunayofanyiwa, sio orders kutoka 'juu' na usikuje mengine hata 'juu' hayajui!. Kuna uozo fulani mahali fulani nyeti, sasa ili kuficha udhaifu, ndio wanaotoa orders za kuwashukia waandishi wenye damu ya kunguni, na kusingizia ni amri kutoka juu, kwa sababu wanajua huwezi kuuliza huko juu kwanza utafikaje wakati ngazi za kupandia ndio wamezishika wao.
Mimi kwa ninayopitia, uvumilivu ukinishinda kabisa, kuna siku nitakuja kuibuka mahali na bango na kumuuliza huyo 'juu', kama kweli ni yeye, ndiye anayetoa 'amri kutoka juu' kuwa waandishi wasema kweli watendwe hivyo wanavyotendwa?, na ukitokea kweli kuwa ni yeye, then nitakuwa sina jinsi, ni kujichukulia tuu jembe na kurejea kijijini kuwa mkulima.
Kwenye hili la Erick Kabendera, naungana na hawa #freeerickkabendera.
P
[/QUOTE]
P