Gazeti la HabariLeo lilivyoripoti juu ya kukamatwa mwandishi Erick Kabendera mwaka 2013

Pole sana mkuu hii awamu sijui inataka isifiwe tu bila kukosolewa wakti imejaa uozo mwingi sana,unajenga miradi mikubwa huku uchumi ukiwa hoi halafu utakae wananchi wasifie tu.
Mfano mdogo ni mabilioni kujenga airport na kuzindua hifadhi huko wananchi wa mkoa huo wakiwa hoi kimaisha
 
Duh, kumbe ndio maana tunashuhudia siku hizi unajitahidi sana ku "off set", Pole sana Kaka.

Back to the topic...hapo kwenye media nakuunga mkono, ni dhahiri kwamba media siku hizi zimekuwa "Watumwa" wa Makampuni.

Ni leo tu nilikuwa nasikiliza redio moja na katika mjadala mmoja mtangazaji mmoja akahoji ni kwa vipi Kigoma ipo chumvi nyingi lakini nchi bado tunaagiza chumvi kutoka nje, mara mwenzake akamkatisha haraka sana, wa kujiongeza tukajiongeza kwamba ni kuhofia kuwakera kampuni ya chumvi "clients" wenye tangazo lao la chumvi pale.

So ni kweli tusitarajie any serious issues kwa media hizi, haswa kama mjadala utakuwa unagongana na maslahi ya "client".

Sasa jiulize ni vipi kama media hiyo ina maslahi na tanesco, idara ya maji, kampuni za simu n.k.

Tusubiri tu mijadala serious ya 'Msanii fulani ana mimba' na zile zinazofanana na hizo.
 
Why journalists should pay the price if they are reporting news with prima-facie evidence .If it opposite to that then they can be sued in the court of law instead of creating scapegoat for their accusations
 
Sasa nakuelewa kaka,ndo maana Pasco wa JF kaondoka na Lowassa wake,sasa yupo Paschal Mayala wa JPM.
 
Pole Sana, umeandika kwa uchungu Sana comrade
 

Pole sana mkuu, nahisi umeamua useme ukweli.
Ila kiukweli asimia kubwa ya watanzania tunapitia magumu, ingawa hayo magumu yanatofautiana kila mmoja ana magumu yake na muda ukifika kila mtu atasema.
Hata wasiojulikana wanapitia magumu na muda ukifika watasema tu.
Magumu ni kama kifo tu kila mtu yatamkuta kwa muda wake, tujipe moyo yatakwisha.
 
Hivi bado Tanganyika tuna uhitaji wa Rais dikteta? Maana kwa sasa naona kila kundi linaguswa kwenye kuisoma namba. Ni suala la zamu tu. Na wakati huo huo tukiwa hatuajingia rasmi kwenye huo mfumo zaidi ya kupasha pasha tu misuli.

Pole sana mkuu Pascall Mayalla na tasnia yote ya habari Tanzania ukiondoa tu wale waandishi wa habari wa serikali na ccm, maana hizi pole haziwahusu.
 
Pole sana Pasco. Just be strong and continue the struggle. Just remember that weeping may endure for the night but joy comes in the morning. The morning draweth nigh so cheer up brother!


Weeping may endure for the night but joy cometh in the morning......Psalm 30:5

Pole sana kaka Pascal Mayalla
 
Pole mkuu, free Erick
 
Wengine watakusanifu,ila mimi huwa nakusoma kwa jicho la 3,huwa ninaelewa mabandiko yako! Watu wanahisi upo kwenye praise team ila in reality unamkosoa sana huyu papaa mkulu! Mungu akutie nguvu
 
Naona Leo Mzee p umetoa yako ya moyoni na kukiri ukweli mchungu ,sasa p tusaidie sisi na nchi wanaofanya mlipe price ni kina nani ?
 

Pole sana Kaka, kikubwa uzima
 
Ziko wapi hizo ripoti za Kabendera, mi sijawahi hata kumsikia asee
 
Pole sana Pasco kama ulivyojulikana mwanzo..Tanzania hii ukiwa na akili ya ziada unaambiwa sio raia
 
Unapitia mambo yepi mkuu? Au umefungwa cha nje na Ndugai?
 
Mkuu kwani na wewe umewahi kupelekwa Mabwepande ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…