Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha Nipashe la mtoto wa mjini Mengi.... waliguse waone.....
Hii adhabu kimsingi ni ndogo, inapaswa kuboreshwa ili iwe kali zaidi.Habari za hivi punde ni kwamba, Gazeti la Mawio limefunguwa kwa miezi 24 kutokana na kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete kwenye mikataba ya madini
View attachment 524471
wajiandae kulipa kama mwanahalisi alivyolipwaMwakyembe ana mihemko ya kitoto sana
amri kutoka juuMwakyembe ana mihemko ya kitoto sana
Unafiki unafiki unafiki unafiki .Halafu wenyewe mtindio wa ubongo wanatuhimiza tushikamane na rais eti anachukua hatua za kizalendo kulejesha Rasilimali zetu,sasa kama hataki hata tuwataje viongozi waliokuwepo madarakani wakati mikataba hii ya kinyonyaji inasainiwa kile kinachoitwa uzalendo kiko wapi?
hivi wamechochea niniHahahahahaaaaa. Ulitaka afanyeje kwa uchochezi wa Mawio!