Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

Poleni Mawio.. Ni mkasa wa pili huu kuwakumba.
 
hahahahahahahahahahahaah kaanza sio jamaa tukutane mahakamani jumatatu kwaza kama vipi kesho chapeni habari kama kawaida
 
Kuna Haja Gani Yakuwasumbua Wawekezaji Km Waliotuingiza Kwnye Hyo Janga Wanalinda Kwa Nguvu Zote?Tusubiri Katiba Mpya Itakayolinda Maslahi Yetu,
 
Saafi saana kwa hatua hiyo dhidi ya MAWIO.....nyongeza ni kwamba wakati wa kuwahoji kina Chenge wapewe masharti ya kutokuwataja maraisi na baraza la mawaziri na spika na bunge...na wapewe adhabu haraka saana .....one week tosha kuwahoji
 
Alafu mtu ananiambia nimuunge mkono rais wetu ktk hi vita. Hv ameona mawio wamekosa sana kuliko hao waliostafu? Afu ccm wanapongeza kufungwa kwa hl gazet eti ni uchochez.
 
Hata Nipashe ya Jana Tarehe 14 June, 2017 pia liliwataja Mkapa na Jk kwny Kashfa ya Mikataba ya Madini
 
Hi kufungiwa kwa miezi 24 nako ni kufutwa? i wish i could be................
 
Hiii habari ya makinikia naifananisha na ya faru john, itafikia hatua hata habari za makinikia zitapigwa marufuku!
 
Habari za hivi punde ni kwamba, Gazeti la Mawio limefunguwa kwa miezi 24 kutokana na kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete kwenye mikataba ya madini
View attachment 524471
Hii adhabu kimsingi ni ndogo, inapaswa kuboreshwa ili iwe kali zaidi.

Hivi vigazeti pamoja na Wamiliki wao ambao wanatumikia mabeberu kuhatarisha amani hapa Nchini wanapaswa kushughulikiwa kikamilifu ili iwe funzo shenz type.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…