Kibaya zaidi magufuli ameshajua utamu wa hiki kipendele cha kutokushitaki rais akiwa madarakani. Atakitumia ipasavyo!!Ndugu kwa hasira ulizonazo lazima utakuwa na cheti feki ama sivyo ulikuwa hewa si bure
Hivi kweli wewe magazeti unanunua au unachungulia vichwa vya habari kwenye mbao za wauza.Hilo gazeti halina faida kwa taifaKwa hiyo tubaki na Uhuru,mzalendo na habari Leo? Hata mkitoa na posho kwa wasomaji " sinunui,sisomo" Pumbavu kabisa.
Njoo nikuonyeshe nakala zingine hujazaliwa ninazo.wewe so unafungia vitumbua au kuuza kwa wauza duka?!Hivi kweli wewe magazeti unanunua au unachungulia vichwa vya habari kwenye mbao za wauza.Hilo gazeti halina faida kwa taifa
Unaweza kukaa sehemu ukitafakari haya yanayoendelea nchi hii ukaishia kupata kichaa.
Tafuta fedha, kuwa na busara linda familia yako iishi vizuri. Mengine yahusuyo siasa yanachanganya!
Hii inayoitwa freedom of speech inauzwa wapi TanzaniaMbona adhabu ndogo? They deserved more than that oh my God only 24months? I can't believe!
Jana Mbona Imetoka taarifa ya Serikali ya Kuyakataza Magazeti Leo Tarehe 15.06.2017 wamekuja na Habari Zilizokatazwa? Mmmh! Tuheshimu Mamlaka!
View attachment 524518
Hili swali fikirishi na kinaweza kuulizwa MAHAKAMANI wakili wa serikali anaweza akabaki anatoa [emoji102] tuKwani yeye Mwakyembe ana uhakika gani kama Mkapa na Kikwete hawajahusika na jambo hili la kuibiwa kwa madini yetu?
Unazeeka vibaya mkuuIla hawa MAWIO inabidi wafungiwe maisha. Ni wachochezi na wazandiki
Tatizo la hili gazeti, huwa linachapishwa mapema! Jana, unatolewa ule mkwala, lenyewe lilikuwa limeshatoka. Wakashindwa kubadilisha gia angani! Yaani, yale yaliyotumwa mikoani, yasiingizwe sokoni, na ya Dar yasisambazwe kwa wauzaji!Hawakusoma alama za nyakati hawa wiki hii wangekausha tu wangesifia makinikia
MAGAZET YOTE YA KUBENEA YANAPENDA SANA KUANDKA UPUUZ BORA YAFUTWE KABSAIla hawa MAWIO inabidi wafungiwe maisha. Ni wachochezi na wazandiki
Tanzania ni takataka? wewe mwenzetu raia wa nchi gani maana hili ni tusi kwetu wazalendo, kama wewe ni mtanzania pia tafadhali tangulia dampo tutakukuta.Hii inayoitwa freedom of speech inauzwa wapi Tanzania
Ngoja tuone unafiki wa vyombo vya habari Tanzania na jinsi vinavyopangiwa cha kuandika na serikali
Hii nchi ni takataka viongozi wake hawajiamini
Kinga ipi waliyo nayo waharifu waliotawala nchi hivi
Wanautukufu gani wakutukuka hadi wasiguswe?