The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Yaani hata hizo kesi za akina Chenge zikifika mahakani tu mimi nitashangaa akina BM na JK wataponaje. Maana haiwezekani Mawaziri au wanasheria walikuwa wanafanya kazi bila baraka au maelekezo kutoka juu.Point,
ngojea waende mahakamani.
Pia ni aibu kwa serikali hii kwa kuwalinda waharifu wa uchumi kwa kuangalia kinga ya wastafu (marais), hii inaonesha haya yanayofanywa na rais ni maigizo kwani wahusika wanajulikana lakini rais hataki waguswe kwa kuwa wanatoka nyumba moja ccm.
Kama kweli rais anania ya kweli, kinga ya kutoshtakiwa wastafu ifutwe ili ile kauli ya "all people are equal before the law " iwe ni ya kweli na siyo selective kwa wapinzani na maskini
Nimeshangaa sana kuona JPM akiongea kwa hasira kwa hao jamaa kuzungumziwa kwenye mikataba.