Gazeti la Mtanzania jaribuni kuwa na adabu kidogo kwani mnajidhalilisha Kitaaluma

Gazeti la Mtanzania jaribuni kuwa na adabu kidogo kwani mnajidhalilisha Kitaaluma

Tena uchwara kweli Mkuu. Mimi Waandishi wa Habari wenye vinasaba na Yanga FC huwa nawachukia sana Mkuu.
"BINGWA WA AZAM FOOTBALL ASSOCIATION CUP AONDOLEWA MAPEMA MASHINDANO YA SPORTS PESA."
"SIMBA AKOSA MSHIKO SPORTS PESA"
" KARATA YABAKI KWA YANGA: SIMBA AAGA MASHINDANO"
Haya chagua heading ya kuuzia font page.
 
Back
Top Bottom