Mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki mali au kufanya biashara wengi tu matajiri walikuwepo kina Mbowe baba,.Nyerere na sokoine ndio waliwapandikizia watz roho ya umasikini kwa kuwaaminisha watu kwamba utajiri ni unyonyaji umasikini ni uzalendo, ikiwemo kuwa kupora mali za matajiri walizochuma tangu mkoloni.Huwezi msaidia masikini kwa kumkomoa tajiri,bali unaweza msaidia masikini kwa kuwafanya matajiri wazidi kuwa matajiri tajiri hawezi kuwa dereva,konda,muuza duka,mlinzi,mpishi wa hotels,mfagizi wa ofisi nk ni lzm ataajiri masikini.Umuhimu wa tajiri ktk nchi ni kutoa ajira na kodi.Tajiri mmoja nyuma yake kuna masikini kijiji wapo nyuma yake wanategemea kula,kuvaa, nauli, sadaka,nk