gazeti la mwanachi hua linatoka siku gani?

Erick tryphone

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
387
Reaction score
84
Wiki hii selection za chuo cha mipango zitawekwa katika gazeti hili. Kwahiyo napenda kufahamu gazeti hili hua linatoka lini?
 
Duh mkuu...we wa wapi? Anyway...its daily....coming..news...paper!!
 
yaani wewe kusoma magazeti mpaka kuwe na matukio, hivi umeshindwa kujua gazeti la mwanachi ni siku zote linatoka na kusomwa !
 
Duh mkuu...we wa wapi? Anyway...its daily....coming..news...paper!!
Sizinga hao ndio product za wasomi wetu wa baadae.jamani nchi hii inalaana,siyo bure.Mie nakumbuka wakati naenda sekondari form one nilikuta libary yetu ya sekondari ina magazeti ya kutosha ni kawa na interest sana na ndio nikiwa napenda Btimes,mfanyakazi,uhuru na dailynews. kabla nilipokuwa msingi magazeti yalikuwa ya kanda elimu na kilimo.Siku hizi vijana wanajua kusoma magazeti ya toilet paper tu yasiyo na maana.Pole ni mfumo mbovu tumejenga na tunarithishana.
 
Last edited by a moderator:
aiseeee babayangu TANZANIA hakuna gazeti la MWANACHI labda ni jipya hilo kwa upande wangu silifahamu
 

You talked enough!! Halafu huyu ni kimeo mtarajiwa wa chuo...dah, shame ofcoz!!
 
ni kama alivyosema mdau hapo juu linatoka kila alhamisi tu
 
yaani wewe kusoma magazeti mpaka kuwe na matukio, hivi umeshindwa kujua gazeti la mwanachi ni siku zote linatoka na kusomwa !

Mbona hilo gazeti na mimi silijui? Ila ajaribu kuangalia kwenye gazeti la ''Mwananchi'' linalotoka kila siku, hata leo limetoka!
 
Toa ushauri wa msingi sio kila kitu lazima uchangie, ucchokijua potezea

Sasa mpaka aje hapa Jamvini kuuliza? au Yupo mkoani? Kwa nini asiende kwenye vibanda vya wauza magazeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…