Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
Wiki hii selection za chuo cha mipango zitawekwa katika gazeti hili. Kwahiyo napenda kufahamu gazeti hili hua linatoka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alhamisi tu!Wiki hii selection za chuo cha mipango zitawekwa katika gazeti hili. Kwahiyo napenda kufahamu gazeti hili hua linatoka lini?
Sizinga hao ndio product za wasomi wetu wa baadae.jamani nchi hii inalaana,siyo bure.Mie nakumbuka wakati naenda sekondari form one nilikuta libary yetu ya sekondari ina magazeti ya kutosha ni kawa na interest sana na ndio nikiwa napenda Btimes,mfanyakazi,uhuru na dailynews. kabla nilipokuwa msingi magazeti yalikuwa ya kanda elimu na kilimo.Siku hizi vijana wanajua kusoma magazeti ya toilet paper tu yasiyo na maana.Pole ni mfumo mbovu tumejenga na tunarithishana.Duh mkuu...we wa wapi? Anyway...its daily....coming..news...paper!!
Sizinga hao ndio product za wasomi wetu wa baadae.jamani nchi hii inalaana,siyo bure.Mie nakumbuka wakati naenda sekondari form one nilikuta libary yetu ya sekondari ina magazeti ya kutosha ni kawa na interest sana na ndio nikiwa napenda Btimes,mfanyakazi,uhuru na dailynews. kabla nilipokuwa msingi magazeti yalikuwa ya kanda elimu na kilimo.Siku hizi vijana wanajua kusoma magazeti ya toilet paper tu yasiyo na maana.Pole ni mfumo mbovu tumejenga na tunarithishana.
aiseeeee babayangu gazeti la mwananchi lipo linatoka kila siku mpaka huku kwetu mkuu rombo linafaika ila gazeti la mwanachi tunauhakika halipoMuna uwakika kwamba hakuna gazeti la MWANANCHI?
Muna uwakika kwamba hakuna gazeti la MWANANCHI?
Ningekusauri huko chuo usiende tafuta tu issue nyingine ufanye.
Ningekusauri huko chuo usiende tafuta tu issue nyingine ufanye.
Toa ushauri wa msingi sio kila kitu lazima uchangie, ucchokijua potezeaKwa hiyo ukikomea form one ndio husomi magazeti?
yaani wewe kusoma magazeti mpaka kuwe na matukio, hivi umeshindwa kujua gazeti la mwanachi ni siku zote linatoka na kusomwa !
You talked enough!! Halafu huyu ni kimeo mtarajiwa wa chuo...dah, shame ofcoz!!
Toa ushauri wa msingi sio kila kitu lazima uchangie, ucchokijua potezea
Wiki hii selection za chuo cha mipango zitawekwa katika gazeti hili. Kwahiyo napenda kufahamu gazeti hili hua linatoka lini?