Wiki hii selection za chuo cha mipango zitawekwa katika gazeti hili. Kwahiyo napenda kufahamu gazeti hili hua linatoka lini?
Samahani kwa maneno yangu! Unaanzia mguu mbaya-Chuo cha Maendelkeo hata hujui magazeti (yale ambayo si PENDWA) yanatoka lini? MUNGU wapatie muujiza wa maono HAWA WASOMI WETU...