Gazeti la Mwanahalisi Hongereni kwa makala za uchambuzi

Gazeti la Mwanahalisi Hongereni kwa makala za uchambuzi

KALABASH

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
498
Reaction score
210
Kwangu mimi na kwa wale wenzangu tusioegemea upande wa vyama vya siasa ni faraja kubwa kupata gazeti la MWANAHALISI linalotoka kila Alhamisi nchini Tanzania.

Kwangu mimi ni chombo pekee katika Print Media ambako naweza kupata uchambuzi makini{analytical} wa maswala mengi ya kisiasa na kijamii. Print media nyingine zote ni kusifu na kuabudu kusiko na kikomo. Bado narudia kuzisoma makala za wiki iliyopita wakati nikisubiri toleo la Alhamisi wiki hii!!!!!!. Hongereeni.
 
umesema ukweli tupu na Kuna gazeti mweza nadhani hayajafunguliwa Mawio na mseto
 
Back
Top Bottom