Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Kuna watu humu hata ilo gazeti hawajawahi kulisoma lakini wako fasta kusema limeonewa. kama umewahi kulisoma hata mara mbili tu utajua style yao ya uandishi na wala Serikali haijakosea.
 
hivi ben saanane yupo wapi jamani shosti wangu yule acha tu yaani kanyamazishwa mazima kabisa
 
Poti chaji imeisha? Hata mie nadhani imeisha. Nikienda nitawasalimia butuguri, buhemba! Kila LA kheri poti
 

chapisha tu mkuu
 
Dictatorial regime, kwa nini wasingepeleka shitaka mahakamani?
 
Mimi nilitegemea baada ya kuonywa kwa mara kadhaa hatua inayofuata ni kulishitaki kwa kufungua kesi mahakamani kwa mujibu wa sheria husika. Maana tofauti na hivyo haki haipatikani kwa kuongea na waandishi wa habari na kutoa hukumu kupitia press conference au siku hizi press conference ndiyo imekuwa mahakama.
Hapa sasa mamlaka imeonyesha udhaifu kwa maana ya kutokufuata sheria, kuogopa, na kukwepa kwenda kwenye chombo cha kutafsiri sheria.
Kwa maana hiyo nikisema MwanaHalisi wameonewa nitakuwa ninakosea? Yaani nchi hii ni vituko tuuuuuu mpaka kero.
 
Mwananchi , Tanzania Daima na Mwananchi yote ni magazeti ya Udaku tupu.
 
Je serikali haiwezi kuyafungia magazeti ya Fahari Yetu na Tanzanite kwa ku "cite judgment" hii baada ya Takukuru kukanusha vikali tuhuma zilizotelewa na magazeti hayo kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari ya terehe 17.06.2019?
 
Je serikali haiwezi kuyafungia magazeti ya Fahari Yetu na Tanzanite kwa ku "cite judgment" hii baada ya Takukuru kukanusha vikali tuhuma zilizotelewa na magazeti hayo kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari ya terehe 17.06.2019?
Hayo magazeti ni untouchable nagwaaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…