Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Ufungiaji huu ungefanyika na kwa gazeti la Uhuru...ingekuwa vizuri!:-
Maana huwa linaandika mashudu sana!
 

Tambua picha hiyo!
 
Miaka miwili ?Uhuru wa vyombo vya habari upo Wapi ?Tanzania kama Uturuki.

Usijali kuna siku wataamka na watakapoamka nadhani itakuwa nilifanya haya kwa sababu huyu aliniamuru nifanye.Anyway toleo la jana sijaona chochote cha uchochezi labda habari za Lissu kuwa front page.

Na gazeti zima hakuna aliyeongelewa zaidi ya Lissu.
 
Uwiiii, habari za Ben saa 8 tutazipata wapi sasa!!! si hawa ndio walisema wanajua alipo Ben saa Nane?!!
ahahaaa wanaudhi sana wale jamaa.wana story zinachafua roho vibaya kumbe uongo tu. eti jm ana account ya euro million mia tano.ataifanya chato kuwa Dubai 2018
 
Swadakta mkuu, [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wangelifungia na lile la Uhuru ingekuwa poa sana,maana lile gazeti kwa kuandika shudu halijambo.."
 
Uhuru itafungiwa lini Maana nalo habari zake mmmh!
 
Ila kwa uelewa wangu mtu akiweka maneno ktk wuotation hamaanishi literal meaning of it, unatakiwa kung'amua anamaanisha nini!
 
kama taarifa haikua na ukweli, haikuhusu serikali ya huyo kiumbe wangewashauri waandike ile ya mpwa, au ya mv dar es salaam, au ya nyumba..
au hilo gazeti lingepigwa risasi.
 

 
Siku hizi ili uuze gazeti lazima iwe na kichwa cha Lisu;
Mfano:
1. Lisu aonyesha sura ya tabasam
2. Lisu akohoa hodini
4. Lisu amelalia ubavu wa kushoto Leo
5. Lisu anadai kikombe cha uji mapema Leo
6. Lisu apiga stori na waliomtembelea Leo
7. Nk

Sasa bwana, huku mtaani tutasikia maneno ya wajuaji...Mara Lisu kakohoa Leo!!, mara kaomba uji Leo!!! Ilimradi kila mmoja aonekane mfuatiliaji wa karibu.
Hilo gazeti walifungue tu maana soko ni baya kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…