binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,247
FUNGA FUNGUAHivi ule utaratibu wa kuyasijili upya ulikamilika? Ningekua mm kubenea ningebadilisha jina na kuliita [emoji357][emoji356][emoji357][emoji356]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FUNGA FUNGUAHivi ule utaratibu wa kuyasijili upya ulikamilika? Ningekua mm kubenea ningebadilisha jina na kuliita [emoji357][emoji356][emoji357][emoji356]
Inawezekana, lakini pia usisahau gazeti hili hili ndio lilituaminisha kwa muda mrefu kuwa lowasa ni fisadi na kwamba kamwe hatosafishika!Wanahofu Lingeweka Aliyempiga Tundu Lissu risasi Picha yake nini?
weledi kwa waandishi wa habari hapa nchini ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa. magazeti mengi yamekua yakiandika habari mbali mbali zisizo na vyanzo vya kueleweka au za kuzusha tu kwa minajili ya kuuza kopi nyingi, lakini wanasahau kwamba wanao wajibu muhimu sana wa kuwapa wananchi taarifa sahihi.
Miaka miwili ?Uhuru wa vyombo vya habari upo Wapi ?Tanzania kama Uturuki.
ahahaaa wanaudhi sana wale jamaa.wana story zinachafua roho vibaya kumbe uongo tu. eti jm ana account ya euro million mia tano.ataifanya chato kuwa Dubai 2018Uwiiii, habari za Ben saa 8 tutazipata wapi sasa!!! si hawa ndio walisema wanajua alipo Ben saa Nane?!!
Swadakta mkuu, [emoji16][emoji16][emoji16]weledi kwa waandishi wa habari hapa nchini ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa. magazeti mengi yamekua yakiandika habari mbali mbali zisizo na vyanzo vya kueleweka au za kuzusha tu kwa minajili ya kuuza kopi nyingi, lakini wanasahau kwamba wanao wajibu muhimu sana wa kuwapa wananchi taarifa sahihi.
Kama wameonewa waende mahakamaniKama wanaadika uongo wawapeleke mahakamani
Msemaji wa serikali: Mfano tarehe 30 Januari lilichapisha habari yenye kichwa cha habari 'Ufisadi ndani ya ofisi ya JPM' ilhali ndani linazungumzia ufisadi ndani ya shirika la elimu Kibaha, ni kiwango cha juu sana cha sensetionalism. Tuliwaita wakaona udhaifu wao na kuomba Radhi na tukawasamehe.
Miezi miwili baadae April 27 wakaja na habari kubwa Mwakyembe: Maisha yangu yako hatarani. Hii stori ilikuwa ya kutunga, Mwakyembe hakuzungumza popote na mhariri wa Mwanahalisi wala mwandishi yoyote, wakaomba radhi kwenye gazeti lao la Mei kwa mheshimiwa Mwakyembe kwa kuomba Radhi, wakaahidi kwenye gazeti kuchukua hatua za kinidhani kwa mhandishi aliezusha, hatua hatujazisikia hadi leo na bado wameendelea na uandishi huo.
September 4 walikuwa na habari nyingine kubwa 'Makinikia yakwama'. Ni mfano mwingine wa habari ya kutunga, tukawapa muda wasahihishe lakini wakakataa kwa maana hawaoni kosa kisheria. Msingi wa kwanza kwenye uandishi wa habari ni ukweli, kamati ya makinikia imekwama wapi na lini, hata ukisoma Miga ina msingi wa confidentiality, sasa katikati ya mazungumzo gazeti kuibuka na kusema mazungumzo yamekwama.
weledi kwa waandishi wa habari hapa nchini ni jambo la muhimu sana kuzingatiwa. magazeti mengi yamekua yakiandika habari mbali mbali zisizo na vyanzo vya kueleweka au za kuzusha tu kwa minajili ya kuuza kopi nyingi, lakini wanasahau kwamba wanao wajibu muhimu sana wa kuwapa wananchi taarifa sahihi.
Kwani mwenzetu ushaipata Noah yako?Tunawadai
Viwanda
Mil50
Komputee
Wasitusahaulishe