Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Hapo ndo alisema atazungumza habari muhimu kuhusu Tanzania yetu? Halafu unafungia gazeti kwa miaka mitatu wakati kiuhalisia baada ya hiyo miaka mitatu kutakuwa na utawala mwingine? Ulevi bwana haujawahi kumuacha mlewaji salama bila ulevi kumdhuru mlewaji kutokana na ulevi wa kutumia kilevi!
 
Hivi na blog ya LeMutuz itafungiwa lini kutokana na upotoshaji?
 
Safi sana.

Tatizo nchi ilikuwa imefika pahala kila mtu anataka kujifanya usalama wa Taifa.

Yahaya unaishi wapi?

Wanyoosheni tu hatutaki uongo ,waache ujinga.
 
Huyu Dr Abbas ni mmoja wa wasomi wa hovyo sana TZ kuwa nao!Msomi anaye tetea tumbo lake ni msomi wa hovyo sana
 
Zile bilioni 2 walizoambiwa walipe baada ya mwanahalisi kushinda kesi wamejipa? Au wamekurupuka kuwangia tena
 
Kiukweli Mwanahalisi siyo gazeti bali kijarida fulani cha wachafuzi. Hawa walimchafua sana Lowassa na bado dhambi ile itaendelea kuwatafuna!
 
Mtafungia magazeti, na kufanya lolote lile mlitakalo but "2020, dictator must go." Tumechoshwa na uvunjifu wa amani.
 
Magazeti mengi yatanzania wanapenda kuandika heading ambayo haihusiani na habari yenyew..jambo hili n baya sana kwan lina lenga kudanganya wananchi na kumfchafua mtu...Watanzania wenye vixhwa vya panzi mtu akishasoma heading uyo anaondoka kwenda kutangaza kumbe ni uzushi.

naipongeza serikali kulifungia hili gazeti la vixhwa vya funza maana halijal utu ukweli kabisa uzush tu gazeti hili limepoteza kabisa mvuto kwa wananchi limekalia uzushi
 
Kama wanaadika uongo wawapeleke mahakamani

Huyu jamaa anayerembua macho ana uhusiano gani na Mkuru?? Inaoenakana kama naye anatokea kulekule wa Kukaya??
Kila idara zimejaa Wasukuma ili kulinda maslahi mapana ya mkuru...!! hapa Kazi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…