Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Gazeti la Mwanahalisi na Mawio yanaonekana ni magazeti korofi kila wa leo ni wao tu.....

Je yawezekana habari zao zina ukweli "mere plain truth" ila wanakosea namna ya uwasilishaji kwa wapendwa wa magazeti hayo ama wanahisi wakitumia taaluma kufichamafichama haitaeleweka wazi kwa wasomaji....

Nadhani taaluma ya utangazaji na uandishi they don't dare talk openly but they talk open by riddles.
 
Yaani baada ya kubwatuka kanisani kwa Gwajima wameamua kujibu mapigo kwa kufungia gazeti ..................!!?
 
Na wewe unaendeleza uongo, miaka mitatu Iko wapi? Au miezi 24 ni sawa na miaka 3? Usifikiri wote wanashabikia habari za uongo, inakera sana.
 
Hizi phd zingine naona majanga.. uwezo wenyu umeishia hapoo? 2020 mtatueleza vema na misura mibaya kama wauza sumu
 
Sasa mbona nae ametumia "kejeli za mitandaoni" kuwafungia Mwana Halisi??
 
Kiukweli Mwanahalisi siyo gazeti bali kijarida fulani cha wachafuzi. Hawa walimchafua sana Lowassa na bado dhambi ile itaendelea kuwatafuna!
Lakini alivohamia chadema walimsafosha, So wasamehe ti
 
safi sana tumechoka kusoma uongo.warudi tena shule hao waandishi wa hilo gazeti
Millioni 50
Computer kila mwalimu
Mikopo university
Ruzuku zetu za pembejeo
Nk......mpaka Leo kimya
Mngemuwajibisha huyu kwa kuliongopea taifa mngefanya jambo la msingi sana....mwanahalisi ndo gazeti gani hilo mbona huku kwetu "kafie kwenu" sijawahi kuliona[emoji15] [emoji15]
 
Poti lini utakuja nyumbani! December nakuja. Nasikia hali mbaya sana
Mbona kama vile anarembua ' mimacho ' yake wakati anazungumza hapo? Ni macho yangu tu ' yamekengeuka ' au na wengine mmeliona hilo?
 
Kwa style ya mzee wa elimu ya hapa na pale ni utapeli mtupu maana ana shawishi kwa kutengeneza habari ili apate pesa.
 
Mwakyembe kazi yake kufungia magazeti tu
 
[emoji1] [emoji1] duh!! Kweli mkuu
 
Sawa Sawa, huwezi ukaacha mhariri na waandishi wanakunywa viroba kisha wanachapisha taarifa uchwara.

Heshima lazima irudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…