Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asikamatwe?Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Kumbe na wewe ni polisi? da umenikumbusha nilivyomaliza F4 braza angu alitaka niwe polisi nikamwambia acha niwe hata boda boda lakini siyo kuwa polisiGilbert Kalanje (Depomate wangu CCP 1998-1999),na huo U-Superitendent amepata juzijuzi tu,leo yupo Mahabusu kwa Kesi ya Mauaji[emoji24]hakika kwenye Maisha hakuna aijuaye kesho
Kwanini polisi mnakuwa na roho mbaya hivyo?Gilbert Kalanje (Depomate wangu CCP 1998-1999),na huo U-Superitendent amepata juzijuzi tu,leo yupo Mahabusu kwa Kesi ya Mauaji[emoji24]hakika kwenye Maisha hakuna aijuaye kesho
Kwa hiyo gazeti limemfananisha?Mkuu heshima kwako.
Amini ya kwamba mwananchi wamekosea, Henry wala hayupo mtwara na hajawahi kuwa SP.
Gilbert ana muda mrefu mtwara kabla hajatoka musoma
Mwamba ulikataa kibarua?Kumbe na wewe ni polisi? da umenikumbusha nilivyomaliza F4 braza angu alitaka niwe polisi nikamwambia acha niwe hata boda boda lakini siyo kuwa polisi
Hapana hiyo ni kazi ya laana sitaki hata kuisikia mkuu, ukiingia huko lazima uwe muovu snMwamba ulikataa kibarua?
Mwananchi ni gazeti la Kenya, hawana utu ni nyangau. Unakumbuka Azorygwanda alikuwa mtumishi wao alitoa breakingnews kila UAMSHO walipomchinja polisi au ccm lakini wapinzani hawaguswi. Gazeti litajua yuko wapi na lina wajibu kumcompsare mjane.Sasa kama huyu Henry kumbe anajulikana kwanini hajashughulikiwa? Au kutishia mtu bastola sio Kosa? Ndio haya haya tunaachia watishiaji watu bastola bila kuwakanya mwisho wa siku wanafanya kweli.
Trigger Happy....
Kwahiyo hii ndiyo sababu ya kumuua Azory Gwanda?Mwananchi ni gazeti la Kenya, hawana utu ni nyangau. Unakumbuka Azorygwanda alikuwa mtumishi wao alitoa breakingnews kila UAMSHO walipomchinja polisi au ccm lakini wapinzani hawaguswi. Gazeti litajua yuko wapi na lina wajibu kumcompsare mjane.
Ungeingia tu ili uwabadili kwa neno la MunguHapana hiyo ni kazi ya laana sitaki hata kuisikia mkuu, ukiingia huko lazima uwe muovu sn
Lete wewe ushahidi kuwa ni henry?!Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Kwa hiyo wewe unamfahamu jamaa aliye mtolea Bastora Nape? Kwamba huyu mwamba anasingiziwa yupo ambae wewe unamfahamu lakini hutaki kumtaja.Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Unaunacheo gani sasahivi?!Gilbert Kalanje (Depomate wangu CCP 1998-1999),na huo U-Superitendent amepata juzijuzi tu,leo yupo Mahabusu kwa Kesi ya Mauaji[emoji24]hakika kwenye Maisha hakuna aijuaye kesho
Huwezi kujiunga na shetaniUngeingia tu ili uwabadili kwa neno la Mungu