Gazeti la Mwananchi limeongopa, Aliyemtishia Nape bastola sio mmoja wa waliokamatwa Mtwara

Kwanini asikamatwe?
 
Gilbert Kalanje (Depomate wangu CCP 1998-1999),na huo U-Superitendent amepata juzijuzi tu,leo yupo Mahabusu kwa Kesi ya Mauaji[emoji24]hakika kwenye Maisha hakuna aijuaye kesho
Kumbe na wewe ni polisi? da umenikumbusha nilivyomaliza F4 braza angu alitaka niwe polisi nikamwambia acha niwe hata boda boda lakini siyo kuwa polisi
 
Mkuu heshima kwako.
Amini ya kwamba mwananchi wamekosea, Henry wala hayupo mtwara na hajawahi kuwa SP.
Gilbert ana muda mrefu mtwara kabla hajatoka musoma
Kwa hiyo gazeti limemfananisha?
 
Sasa kama huyu Henry kumbe anajulikana kwanini hajashughulikiwa? Au kutishia mtu bastola sio Kosa? Ndio haya haya tunaachia watishiaji watu bastola bila kuwakanya mwisho wa siku wanafanya kweli.

Trigger Happy....
Mwananchi ni gazeti la Kenya, hawana utu ni nyangau. Unakumbuka Azorygwanda alikuwa mtumishi wao alitoa breakingnews kila UAMSHO walipomchinja polisi au ccm lakini wapinzani hawaguswi. Gazeti litajua yuko wapi na lina wajibu kumcompsare mjane.
 
Kwahiyo hii ndiyo sababu ya kumuua Azory Gwanda?
 
Lete wewe ushahidi kuwa ni henry?!
Tofauti na hapo acha porojo
 
Kwa hiyo wewe unamfahamu jamaa aliye mtolea Bastora Nape? Kwamba huyu mwamba anasingiziwa yupo ambae wewe unamfahamu lakini hutaki kumtaja.
 
Gilbert Kalanje (Depomate wangu CCP 1998-1999),na huo U-Superitendent amepata juzijuzi tu,leo yupo Mahabusu kwa Kesi ya Mauaji[emoji24]hakika kwenye Maisha hakuna aijuaye kesho
Unaunacheo gani sasahivi?!
 
Ninachoamini ni kwamba Mwananchi wanataka hili jambo lifufuke upya.Kwa kuchanganya huko kwa makusudi itabidi waziri wa habari ambaye ni Nape awape adhabu ya kudanganya umma na kisha katika kuwapa adhabu ataweka ukweli na katika kuweka ukweli basi Gilibert atatafutwa huko aliko.Shahid wa Nape atakuwa Hamorapa pamoja na Kitenge
 
KITENGE AMBAYE ALIMUONA USONI SIKU ANASOMA HII HABARI KWENYE GAZETI ALISEMA "KAMA HATUA ZINGECHUKULIWA MAPEMA LABDA HATA MTWARA ASINGEFANYA HIVYO" WHICH MEANS ALIMKUMBUKA SURA YAKE
 
KITENGE AMBAYE ALIMUONA USONI SIKU ANASOMA HII HABARI KWENYE GAZETI ALISEMA "KAMA HATUA ZINGECHUKULIWA MAPEMA LABDA HATA MTWARA ASINGEFANYA HIVYO" WHICH MEANS ALIMKUMBUKA SURA YAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…